Ahmed Ally ungerahisisha tu kwa kusema ukweli kuwa sasa Mo Dewji ameishiwa Pesa na Klabu inaweweseka kimapato sasa

Sisi simba tunaiwinda saini ya bonge la mido Nassoro kapama na Shiza kichuya ili majembe ayo yatusaidie kwenye mechi za kimataifa, maana tushawapiga bao yanga kuwapata wachezaji hao, bila kusahau tunawawinda wachezaji wengine ambao ni mafree agent tuwasajili kwa bei kitonga pia wale walioachwa na timu zao ni halali yetu tunabeba wote maana tunabana matumizi mil.800 tuliyotenga kwaajili ya usajili tunajua Aziz ki tusingemuweza kama kalamba mil.500 peke yake tungebakiwa na 300 tu wakati tunataka wachezaji kama 8 wa bei ya mserereko🤣🤣🤣🤣
 
Aziz ki huyo msimbazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…