Ahmed Ally wa Azam TV Msemaji Mpya wa Simba

Simba imeramba dume apa
 
Hivi Simba Sc. timu yangu mbona hatufanyi usajili? Siku zinazidi kuyoyoma
 
Mimi mwenyewe nimeshangaa! Amed Ali na Mikia fc wapi na wapi! Huyu amefuata tu hela na kuendeleza kipaji chake. Nakumbuka wakati anatangaza Azam, alikuwa hata hajifichi. Kijana wetu huyu!


😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…