Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Gharama za Mpira zimepanda sana, Wote tumepigwa na taharuki baada ya kusikia fedha wanazohitaji Wachezaji wetu kipindi cha usajili.
.
Kama ni kweli Wachezaji wanataka fedha hizo basi hakuna klabu Tanzania yenye uwezo wa kuzalisha nyingi hivyo kutoka kwenye vyanzo vyake bali tunamtegemea Muwekezaji, Ahmed Ally Afisa Habari wa Simba SC.
.
Ameongeza kuwa ni kawaida ya Binadamu haoni umuhimu wa neema aliyokua nayo mpaka iondoke.
.
Amewataka wana Simba kumtetea na kumlinda Mohamed Dewji juu ya wale wote ambao wanamuona hafai wakati ndiye aliyeifikisha Simba hapa ilipo.
.
Kubwa zaidi amesema hiki ndicho kipindi ambacho Simba inamuhitaji zaidi Mohamed Dewji kuliko kipindi chochote na kufanya vibaya kwa Simba kwa misimu miwili mitatu isiwe sababu ya kufuta yote mazuri yaliyofanyika.
𝐓𝐚𝐣𝐢𝐫𝐢 𝐚𝐩𝐞𝐩𝐞𝐰𝐞