Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Hata huko tunapotaka kwenda kwenye English Premier League mpira sio Sustainable na timu zinatumia kuliko uhalisia au uwezo wao...., ndio maana nilishasema
www.jamiiforums.com
Kwahio kwa Bongo ili tusijepotea kama hao wanaopotea ni vema Timu zikafanya mambo kwa uwezo wao na hilo linatokana na kukuza vipaji na kutumia vipaji vya ndani ambavyo mara nyingi huwa wana gharama ndogo kuliko wa nje...
Wenger's Way is the Right Way.....
Katika uendeshaji wa timu wa muda mrefu na sio kutaka mafanikio ya haraka haraka na kuua timu, kocha anayefaa kuigwa ni Arsene Wenger..., Mashabiki wa Arsenal inabidi wafikilie sana wanachokitaka (kununua wachezaji wengi wenye wage bill kubwa) itakayopelekea Timu kufilisika au kutumia pesa na...