Ahmed Ally: Wote tumepigwa na taharuki juu ya hela nyingi wanazohitaji wachezaji wetu

Hata huko tunapotaka kwenda kwenye English Premier League mpira sio Sustainable na timu zinatumia kuliko uhalisia au uwezo wao...., ndio maana nilishasema

Kwahio kwa Bongo ili tusijepotea kama hao wanaopotea ni vema Timu zikafanya mambo kwa uwezo wao na hilo linatokana na kukuza vipaji na kutumia vipaji vya ndani ambavyo mara nyingi huwa wana gharama ndogo kuliko wa nje...
 
Kwa hiyo A.Ally ameacha mapepe na kuwa mtulivu sasa ehh.Kwani nani kakushushia kitu kizito utosini😝
 
Sijui mikataba ya wachezaji ila naona kama wa Simba wana majukumu mengi sana mara wabebe energy, kwngn naona wanavaaa brand ya bidhaa husika tu lkn sio kupigishwa mipicha umebeba ndoo ya sabuni ya unga
Na hizo bidhaa ndiyo zimewachosha wachezaj misimu huu
 
Alikuwa anaonekana wa maana,pamoja na drama za viongozi na timu mbovu watu walienda kwasababu ya ushawishi wa Ahmed Ally,ila kwa huu uchawa anaoanza na yeye tunamweka kundi moja na kina Try
 
Hizi timu zinakwamishwa na mashabiki kutoingia uwanjani, mashabiki kutolipia uanachama
 
Kwahiyo ndio tuseme, "boss hanuniwi" sio?
 
Wachezaji wanataka chao mapema, wanajua timu inaelekea kushuka daraja.
 
Nikukumbushr tu wa lofa, haya masabuni Ndio yameifanyw Simba iwe katika Timu Kumi Bora ya Vioabu Barani Afrika. Ndiyo yaliwezesha Timu kama Biaashara,Namungo ..kujulikana Afrika...ficheni upumbavu wenu!
Miche fc nunueni wachezaji wa viwango na muache uswahili uswahili, mpira ulishahama huko mlipobakia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…