Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Ahmed Ally ameweka video yenye tuhuma nzito dhidi ya Young Africans kwamba wanataka kuhama Azam Complex baada ya kugundulika wakifanya uchawi, baadaye wakahamia vyumbani wakijichoma choma mauchafu ,wamesahau kuna CCTV cameras baada ya kugundua wakataka kuhama Azam Complex.
Hii ni tuhuma nzito Club ya Yanga wanatakiwa kujibu au kumshitaki kama siyo kweli, na kama ikibainika ni kweli wachukuliwa hatua kali, haiwezekani tunashindana na watu wanaojidunga mambo yao wanaojua kwenye ligi