Ahmed Ally: Yanga walitaka kuhama Azam Complex baada ya kugundulika wanajichoma choma uchafu

Ahmed Ally: Yanga walitaka kuhama Azam Complex baada ya kugundulika wanajichoma choma uchafu

Skuizi hatuogi mtoni. Tunaogea bafuni na mlango tunafunga.
acha imaginary za kizamani
Watoto wa 2000 mnapenda sana ligi na wakubwa zenu. Na hapa kichwa kikishika moto zaidi, utashangaa unakimbilia kwenye kutukana.
 
Al- Hilal waandae Madaktari wakishirikiana na CAF majamaa wapimwe vipindi vyote viwili ILI UDHALIMU huu unaofanywa na Yanga ufike mwisho😔
Zote hizi ni hasira za kufungwa mara 4 mfululizo.

Pole sana historia imeshaandikwa.
 
Ishu ni kuwa TFF hawana DOPING TEST kuwapima wachezaji kabla na baada ya mechi kuona kama wanatumia madawa yaliyopigwa marufuku michezoni ama laa.

Yanga miaka hii miwili wachezaji wake wameonekana wakikimbia sana uwanjani na kuwa na work rate kubwa kuliko kawaida hili linatosha kuibua sintofahamu nini kinaendelea nyuma ya pazia
Nqfikiri tff wa implement anti doping test kabla na baada ya mechi, malalamiko haya yakifika fifa ni hatari
 
Kaamedi ally ni kajinga mno,sasa kanaongea vitu ambavyo havikahusu,kenyewe na timu yake walishindwa kuifunga yanga ila wanaume wamekasaidia kanaanza kuropoka ropoka hovyo

Yanga kashitakeni haka kajamaa kapunguze mdomo
 
Tunadeal na hayo madude mnajidunga,mnapiga kelele kwamba nye ni unbeaten kumbe tunacheza na marobot, CCTV camera imewaumbua baada ya kujua mmeshtukiwa mechi mbizi zilizofuata ni kipigo tu,zinazofuata kila mtu anajipigia
Ina maana Yanga ni wajinga kiasi hicho cha kutojua kama pale kuna CCTV camera? Siasa za Simba za kipumbavu!
 
Kaamedi ally ni kajinga mno,sasa kanaongea vitu ambavyo havikahusu,kenyewe na timu yake walishindwa kuifunga yanga ila wanaume wamekasaidia kanaanza kuropoka ropoka hovyo

Yanga kashitakeni haka kajamaa kapunguze mdomo
Ngoja Sindano za Ubaya Ubwela ziwaingie, NYINYI MLIPOKUWA mnaimba mpaka CAF kwamba SIMBA ANAPULIZA DAWA ZA USINGIZI VYUMBANI mpaka CAF wakaleta timu ya uchunguzi hamkujua haya.
Kuimba kupokezana. Sasa ni kampeni ya Ubaya Ubwela kazi mnayo, video ya Connection yenu ya Masindano inaenda hadi FIFA tujue nani mjanja kati ya anayeishi Msimbazi Jijini na anayeishi Twiga na Jangwani kule mabonden kwa wakaanga Kashata na Kahawa. Maaaaaamae zenu
 
Na ya Mashujaa? Na matches ngapi Yanga imecheza dhidi ya wapinzani dhaifu? Azam walipolemewa walipoteza points ngapi? Na mashujaa si walilemewa pia? Yanga possession 81 Mashujaa 19. Nani alishinda?
Naona akili zimekuruka.Yanga alicheza lini na Mashujaa kwenye msimu huu?Au madhara ya kuumwa na nyuki?Wacha ushabiki maandazi wa kufuata mkumbo huku hujui hata timu unayoishabikia imecheza na timu gani.
 
Ahmed Ally ameweka video yenye tuhuma nzito dhidi ya Young Africans kwamba wanataka kuhama Azam Complex baada ya kugundulika wakifanya uchawi, baadaye wakahamia vyumbani wakijichoma choma mauchafu ,wamesahau kuna CCTV cameras baada ya kugundua wakataka kuhama Azam Complex.

Hii ni tuhuma nzito Club ya Yanga wanatakiwa kujibu au kumshitaki kama siyo kweli, na kama ikibainika ni kweli wachukuliwa hatua kali, haiwezekani tunashindana na watu wanaojidunga mambo yao wanaojua kwenye ligi
Mnahangaiiiiiiiika.
Sijui kuna uhusiano gani kuwa mshabiki wa Simba na Kupenda MAJUNGU. Maana kila sehemu niliyokaa kikazi na mtaani utakuta wanapiga MAJUNGU sana huwa ni mashabiki wa Simba
 
Back
Top Bottom