Insipectakomba
Member
- Aug 29, 2024
- 63
- 89
Ahmed Ally ameweka video yenye tuhuma nzito dhidi ya Young Africans kwamba wanataka kuhama Azam Complex baada ya kugundulika wakifanya uchawi, baadaye wakahamia vyumbani wakijichoma choma mauchafu ,wamesahau kuna CCTV cameras baada ya kugundua wakataka kuhama Azam Co
tuhuma za kipumbavu za kutengeneza kama hizo huwezi kumnasa mtu kiulani hivyo ,,jiulize maswali yafuatayo : hizo camera kwa nini zije kuonyesha vitu vilivyosahaulika badala ya kutuonyesha kuanzia mwanzo ? Je hakuna uwezekano wa mwenye uwanja kuweka hivyo vitu baada ya mechi ili kumchafua mwenzake ? Baada ya vitu hivyo kuonekana kwa nini makamisaa wa mchezo hawakuitwa kuja kujiridhisha ? Hii michezo ya kuweka bangi kwenye nyumba ya mtu halafu unataka polisi waifatilie ishapitwa na wakatiUkiangalia kwa umakini lipo jambo video ya masindano nimeiona ila ni sindano za nini hilo siwezi semea