Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Mara nyingi inakuwa kipindi cha piliIshu ni kuwa TFF hawana DOPING TEST kuwapima wachezaji kabla na baada ya mechi kuona kama wanatumia madawa yaliyopigwa marufuku michezoni ama laa.
Yanga miaka hii miwili wachezaji wake wameonekana wakikimbia sana uwanjani na kuwa na work rate kubwa kuliko kawaida hili linatosha kuibua sintofahamu nini kinaendelea nyuma ya pazia