Watoto wa 2000 mnapenda sana ligi na wakubwa zenu. Na hapa kichwa kikishika moto zaidi, utashangaa unakimbilia kwenye kutukana.Skuizi hatuogi mtoni. Tunaogea bafuni na mlango tunafunga.
acha imaginary za kizamani
Eti watoto wa 2000 😂😂😂😂😂Watoto wa 2000 mnapenda sana ligi na wakubwa zenu. Na hapa kichwa kikishika moto zaidi, utashangaa unakimbilia kwenye kutukana.
Zote hizi ni hasira za kufungwa mara 4 mfululizo.Al- Hilal waandae Madaktari wakishirikiana na CAF majamaa wapimwe vipindi vyote viwili ILI UDHALIMU huu unaofanywa na Yanga ufike mwisho😔
Nqfikiri tff wa implement anti doping test kabla na baada ya mechi, malalamiko haya yakifika fifa ni hatariIshu ni kuwa TFF hawana DOPING TEST kuwapima wachezaji kabla na baada ya mechi kuona kama wanatumia madawa yaliyopigwa marufuku michezoni ama laa.
Yanga miaka hii miwili wachezaji wake wameonekana wakikimbia sana uwanjani na kuwa na work rate kubwa kuliko kawaida hili linatosha kuibua sintofahamu nini kinaendelea nyuma ya pazia
Unasema nini mkuu, watu wana draft barua za kwenda kushtaki CAF..Nqfikiri tff wa implement anti doping test kabla na baada ya mechi, malalamiko haya yakifika fifa ni hatari
Kwamba hukuona walikuwa pungufu?Mechi ya Tabora tunaweza kusema ni wana ijunries,je ya Azam? Usishangae timu ikaja kudrop kiwango gafla
Ina maana Yanga ni wajinga kiasi hicho cha kutojua kama pale kuna CCTV camera? Siasa za Simba za kipumbavu!Tunadeal na hayo madude mnajidunga,mnapiga kelele kwamba nye ni unbeaten kumbe tunacheza na marobot, CCTV camera imewaumbua baada ya kujua mmeshtukiwa mechi mbizi zilizofuata ni kipigo tu,zinazofuata kila mtu anajipigia
Ka medy ally kanaongeaga kama kamewekewa mhogo kwenye shithole!Kaamedi ally ni kajinga mno,sasa kanaongea vitu ambavyo havikahusu,kenyewe na timu yake walishindwa kuifunga yanga ila wanaume wamekasaidia kanaanza kuropoka ropoka hovyo
Yanga kashitakeni haka kajamaa kapunguze mdomo
Ni bora kumwekea nyuma mwikoKa medy ally kanaongeaga kama kamewekewa mhogo kwenye shithole!
Ngoja Sindano za Ubaya Ubwela ziwaingie, NYINYI MLIPOKUWA mnaimba mpaka CAF kwamba SIMBA ANAPULIZA DAWA ZA USINGIZI VYUMBANI mpaka CAF wakaleta timu ya uchunguzi hamkujua haya.Kaamedi ally ni kajinga mno,sasa kanaongea vitu ambavyo havikahusu,kenyewe na timu yake walishindwa kuifunga yanga ila wanaume wamekasaidia kanaanza kuropoka ropoka hovyo
Yanga kashitakeni haka kajamaa kapunguze mdomo
Naona akili zimekuruka.Yanga alicheza lini na Mashujaa kwenye msimu huu?Au madhara ya kuumwa na nyuki?Wacha ushabiki maandazi wa kufuata mkumbo huku hujui hata timu unayoishabikia imecheza na timu gani.Na ya Mashujaa? Na matches ngapi Yanga imecheza dhidi ya wapinzani dhaifu? Azam walipolemewa walipoteza points ngapi? Na mashujaa si walilemewa pia? Yanga possession 81 Mashujaa 19. Nani alishinda?
Historia itaandikwa pia Kwa timu ya Kwanza Tanzania kutumia madawa ya kusisimua misuli 🤷Zote hizi ni hasira za kufungwa mara 4 mfululizo.
Pole sana historia imeshaandikwa.
Kama walivyowakimbikiza Tabora United mwanzo mwisho na kukoga goli 3.Hii ni kweli..nilishangaa yanga pungufu imewakimbiza Azam waliokalimilika mwanzo mwisho..
Mnahangaiiiiiiiika.Ahmed Ally ameweka video yenye tuhuma nzito dhidi ya Young Africans kwamba wanataka kuhama Azam Complex baada ya kugundulika wakifanya uchawi, baadaye wakahamia vyumbani wakijichoma choma mauchafu ,wamesahau kuna CCTV cameras baada ya kugundua wakataka kuhama Azam Complex.
Hii ni tuhuma nzito Club ya Yanga wanatakiwa kujibu au kumshitaki kama siyo kweli, na kama ikibainika ni kweli wachukuliwa hatua kali, haiwezekani tunashindana na watu wanaojidunga mambo yao wanaojua kwenye ligi