Ahmed Ally: Yanga walitaka kuhama Azam Complex baada ya kugundulika wanajichoma choma uchafu

Mnahangaiiiiiiiika.
Sijui kuna uhusiano gani kuwa mshabiki wa Simba na Kupenda MAJUNGU. Maana kila sehemu niliyokaa kikazi na mtaani utakuta wanapiga MAJUNGU sana huwa ni mashabiki wa Simba
Halafu wale wachawi saaaaaana na Wajinga wajinga wasojielewa utakuta ni Mtopolo. Yaani kazini ukikiona Kibabu/Kijana kau kau kinaongea saaaana na kinapenda ushirikina na kupepeta mdomo usiulize timu yake tambua tu ni Utopolo OG!
 
Akili huna au umeanza kushabikia mpira leo umesahau Manara aliwahi kusema Simba wanatumia dawa kwa kupuliza ktk chumba au unajitoa ufahamu
Yanga wanatumia madawa kweli ishangundilika labda muache ukiona inauma nenda kashtaki
Fanyeni basi namna wakamatwe. Mna majungu kama mwanamke aliyeachika
 
Halafu wale wachawi saaaaaana na Wajinga wajinga wasojielewa utakuta ni Mtopolo. Yaani kazini ukikiona Kibabu/Kijana kau kau kinaongea saaaana na kinapenda ushirikina na kupepeta mdomo usiulize timu yake tambua tu ni Utopolo OG!
Uandishi wako tu unajieleza kuwa wewe ni mpiga majungu mwandamizi.
 
Mashabiki wa Simba wana tabia za Kishangazi sana. Wivu mwiiiingi kukaa vibarazani kumpiga majungu jirani kisa tu anakuzidi .
Majungu na ushirikina ndio sifa kuu za shabiki wa Simba.
 
Kuimba kupokezana Manara aliwahi sema live hadharani kuwa simba wanapulizia dawa sisi tukaa kimya tulieni dawa iwaingieni
Ila ndugu yangu ni kwanini umejipa jina hilo na kujiwekea profile picture hiyo. Nadhani Shetani anajisikia fahari sana kwako
 
Kweli mbumbumbu ni mbumbumbu tu kabla huja andika jaribu kufanya utafiti kama Tff hawafanyi Doping Test.
Unajua ata ao Tff wamewaweka mashabiki wengi wa Simba katika Kundi la ma Mbumbumbu, Tff Wana waangalia alafu wanacheka tu.
 
Madawa gani?

Kijili alikuwa ni mmojawapo wa waliopewa hayo madawa?
Ulikuwa uko kwenye coma au ulikuwa uko rumande?Utopolo wameacha sindano za madawa kwenye vyumba vya wachezaji Chamazi.
 
Sasa Yanga akitaka kuhamia KMC nani atakaye mzuia,si uamuzi tuu maana uwanja sio wenu.
 
Ulikuwa uko kwenye coma au ulikuwa uko rumande?Utopolo wameacha sindano za madawa kwenye vyumba vya wachezaji Chamazi.
Pelekeni Ushahidi TFF na FIFA yanga ichukuliwe hatua.

Mnasubiri nini?
 
Naona akili zimekuruka.Yanga alicheza lini na Mashujaa kwenye msimu huu?Au madhara ya kuumwa na nyuki?Wacha ushabiki maandazi wa kufuata mkumbo huku hujui hata timu unayoishabikia imecheza na timu gani.
Naona sasa wewe ndo kama umeng'atwa na nyuki. Umepaniki jambo dogo tu. Wala hukupaswa kutoka povu kila sehemu yako ya uwazi. Sisi Yanga hatuna malalamiko. We nyau kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…