Ahmed Ally: Yanga walitaka kuhama Azam Complex baada ya kugundulika wanajichoma choma uchafu

Mara nyingi inakuwa kipindi cha pili
 
Naona sasa wewe ndo kama umeng'atwa na nyuki. Umepaniki jambo dogo tu. Wala hukupaswa kutoka povu kila sehemu yako ya uwazi. Sisi Yanga hatuna malalamiko. We nyau kweli
Vipi akili zimerudi?Mlipondwa na Mashujaa au Tabora United?
 
Halafu wale wachawi saaaaaana na Wajinga wajinga wasojielewa utakuta ni Mtopolo. Yaani kazini ukikiona Kibabu/Kijana kau kau kinaongea saaaana na kinapenda ushirikina na kupepeta mdomo usiulize timu yake tambua tu ni Utopolo OG!
Hivi timu gani kutoka Tanzania, iliyopigwa faini na Caf, kwa sababu ya kufanya vitendo VYA ushirikina kule kwa madiba, maana mi nimesahau
Nikumbusheni
 
Unatukana halafu unakimbilia ma admin.Njoo na lugha nzuri utajibiwa kwa lugha nzuri.Ukitukana utatukanwa.So simple.
 
Gongowazi wameshatangaza kuhama Chamazi na kuhamia Uwanja wa KMC Mwenge.
Njama zao za ulozi zilidhibitiwa na kuwekwa wazi kuhusu kumwaga madawa na kujichoma sindano za kuongeza nguvu.
KMC pia kuna camera so walete.Baada ya mechi 2 watahamia Zanzibar.Safari hii ni spana kila mahali.
 
Madawa gani?

Kijili alikuwa ni mmojawapo wa waliopewa hayo madawa?
Ukicheza na wanaojidunga madawa lolote laweza kutokea maana unashindana na mtu ambaye ana extra power
 
Halafu wale wachawi saaaaaana na Wajinga wajinga wasojielewa utakuta ni Mtopolo. Yaani kazini ukikiona Kibabu/Kijana kau kau kinaongea saaaana na kinapenda ushirikina na kupepeta mdomo usiulize timu yake tambua tu ni Utopolo OG!
Kila siku wanapita mlango ambao sio wapo radhi kupigwa faini kila mechi lakini watimize tu matakwa ya ushirikina
 
Mwishowe watahama hata nchi maana ni kipigo tu
 
Uwezi kujibu ujinga kama huu,kama vingekuwepo walipaswa kutoa TAARIFA mamlaka husika ndizo zingechunguza na kumtaka muhusika Kisha kumpatia adhabu
 

Unapotafuta skendo za kipumbavu na unataka kiki halafu watu wanakushtukia na kukuona mpumbavu wanakaa kimya bila kukujibu lazima ujione mwehu , yeye mwenye hizo video ilipaswa azipeleke kwenye mamlaka husika ili zishughulikiwe na kupayuka tu , pili kwani hizo camera hazina uwezo wa kuonyesha matukio yote ysliyofanyika humo ndani na kama ilizibwa maafisa wa uwanja huo kwa nini hawakufuatilia soon baada ya kuona camera za chumba hicho hazionyeshi kila kinachoendelea ? Ukifuatilia hii sinario unaona wazi ni skendo ya kipumbavu na ya kutengenezwa hivyo rai yangu vilabu hivi vijenge viwanja vyao bila hivyo masaibu kama haya yataendelea kila leo kwa kuwa nyumba ya mtu inabaki kuwa ya mtu yupo huru kuongea lolote na kwa muda wowote atakao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…