Ahmed Ally: Yanga walitaka kuhama Azam Complex baada ya kugundulika wanajichoma choma uchafu


Ukiangalia kwa umakini lipo jambo video ya masindano nimeiona ila ni sindano za nini hilo siwezi semea
tuhuma za kipumbavu za kutengeneza kama hizo huwezi kumnasa mtu kiulani hivyo ,,jiulize maswali yafuatayo : hizo camera kwa nini zije kuonyesha vitu vilivyosahaulika badala ya kutuonyesha kuanzia mwanzo ? Je hakuna uwezekano wa mwenye uwanja kuweka hivyo vitu baada ya mechi ili kumchafua mwenzake ? Baada ya vitu hivyo kuonekana kwa nini makamisaa wa mchezo hawakuitwa kuja kujiridhisha ? Hii michezo ya kuweka bangi kwenye nyumba ya mtu halafu unataka polisi waifatilie ishapitwa na wakati
 
Kwanini mbafugwa na Timu ambazo GSM hajadhamini tu alozodhamini mnachapa nyingi?
Wew ulivyopigwa 5 umedhaminiwa na gsm ? Jkt tanzania nae alivofungwa anadhaminiwa na gsm ? Kiongozi jaribu kujizuia hata kama kichwani mna mapungufu kila mmoja asijue ibaki siri yako 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
 
 
Cctv camera zina semaje. ? Mchawi kaonekana so now uchawi wa uto hauna nguvu tena
 
Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • naipendayanga_official_70718892_982186508780433_822201702640371731_n.mp4
    2.4 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…