Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Haya ni machache yaliyopo hadharani. Hatuyajui ya sirini. Sote tunaijua hadhi ya kuwa na passport yenyewe hadhi ya kidiplomasia. Huyu mfanyabiashara anapitisha biashara ngapi kwa kutumia pass ya kidiplomasia aliyopewa? Waliyompa wamelipwa kiasi gani? Je serikali ni kweli haijui na kufahamu juu ya jambo hili.
Niseme tu kwa ufupi watanzania wenzangu mkiona mambo kama haya yapo hadharani basi mjue ya sirini yanatisha. Tuliombee taifa letu huyu mama kadhamiria iwe ni yeye au Wana Mtandao.
Niseme tu kwa ufupi watanzania wenzangu mkiona mambo kama haya yapo hadharani basi mjue ya sirini yanatisha. Tuliombee taifa letu huyu mama kadhamiria iwe ni yeye au Wana Mtandao.