Achana naye mseenge huyo anakupotezea energy yako ya bure tu.
Kila mtu anajua pasi ya kusafiria ya kidiplomasi inatolewa kwa kiongozi wa wenye wadhifa wa kiserikali na sio kwa kiongozi wa chama cha siasa au sijui wafanya biashara wakubwa hakipo hicho kitu.
Ila huyo bwege amekaza pumbu hapa tena anakuletea na madesa ambayo hata yeye mwenyewe hayaamini hili kuonesha kuwa kitendo cha huyu jamaa mwanafamilia wa Asas kuwa na diplomatic passport ni sahihi.
Binafsi huwa nawachukia sana wasomi njaa kama huyo
DR VRM ambao wako tayari kutetea uozo wa aina yoyote unaofanywa na serikali ya ccm kwa ajili tu ya makombo wanayoambulia huko kwenye system.
Namuita huyu ni mla makombo kwa sababu ni mnufaika wa daraja la mwisho kabisa kwenye system, wanufaika wa kwanza huwezi kuwaona huku wakishinda huku mitandaoni kuitetea serikali, ambao ndio hao akina Asas..