Ahmed Assas ana hati ya kusafiri ya kidiplomasia kwa hadhi ipi aliyo nayo? Nchi imeoza hii

Ahmed Assas ana hati ya kusafiri ya kidiplomasia kwa hadhi ipi aliyo nayo? Nchi imeoza hii

malofa wa masuala ya kidipolomasia wakikutana hupotoshana kindezi sana dah

ama kwa hakika jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza kinene šŸ’
Halafu kuna mbwa kama wewe mko bize mitandaoni mnatetea kila ovu linalofanywa na serikali ya CCM na wakati wanaonufaika na CCM ni wengine kabisa wako bize na kuenjoy privilages wanazopewa na CCM halafu mbwa kama wewe mnarushiwa makombo na hao mabwanyenye yanayofaidi keki ya taifa.
 
Nimesema hastahili sababu hayumo kwenye Makundi yaliyoyotakiwa kupata passport hiyo, hayo Makundi nimekuwekea list yake. Nilitegemea wewe ungeweka list ambayo inapingana na hayo Makundi

Unarudi palepale kuzungumzia act ya 2002 wakati ulisema imepitwa na wakati. Nilitaraji ungeweka mpya.

Mwisho, usiweke maneno matupu ambatanisha na document kusupport unachoandika.

Mfano: weka list ambayo ipo tofauti na hii
View attachment 3442182
standing order ya 2002 ilishatupwa hiyo ni obsolete, hata ya 2006 na 2009 imeshapitwa na wakati, usitumiea kama refrerence, utakuwa misguided, diplomatic passoprt inaweza kuwa issued kwa mtu yeyeto kama assigment yake itahitaji passport hiyo, ukiacha viongozi wa ngazi zajuu na politicians, hapo chini angalia kundi la mwisho, hata wewe unaweza pewa diplomatic passport, usifikiri ni kitu kigumu kama vile ni pass ya kwenda HEAVEN šŸ˜€

In Tanzania, diplomatic passports are issued to
  • High-ranking government officials, Judicial officials,Other key figures, Diplomat, Former high-ranking officials, Aides-de-Camp.
  • Other specified individuals: The list also includes the Registrar of Political Parties, Directors General of certain security and anti-corruption bodies, and other individuals as determined by the Director of Immigration Services.
 
Nimesema hastahili sababu hayumo kwenye Makundi yaliyoyotakiwa kupata passport hiyo, hayo Makundi nimekuwekea list yake. Nilitegemea wewe ungeweka list ambayo inapingana na hayo Makundi

Unarudi palepale kuzungumzia act ya 2002 wakati ulisema imepitwa na wakati. Nilitaraji ungeweka mpya.

Mwisho, usiweke maneno matupu ambatanisha na document kusupport unachoandika.

Mfano: weka list ambayo ipo tofauti na hii
View attachment 3442182

In Tanzania, diplomatic passports are issued to
  • High-ranking government officials, Judicial officials,Other key figures, Diplomat, Former high-ranking officials, Aides-de-Camp.
  • Other specified individuals: The list also includes the Registrar of Political Parties, Directors General of certain security and anti-corruption bodies, and other individuals as determined by the Director of Immigration Services.
Soma hapo chini bullet ya 2, hata wewe unaweza pata hiyo stahiki ya diplomatic passportšŸ˜›
 
Nimeona hapo kwenye mahitaji/vigezo, mojawapo wameandika hivi:-

"An introduction letter from Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation"

Je, hiyo "introduction letter" inatolewa kwa mtu kukidhi vigezo gani?
Wapigie simu
 
Shida kubwa ya Mwafrica wa Tanzania nimegundua ni umasikini, ulimbukeni na akili za kitumwa.

Hawa jamaa zetu wamegundua dawa nikuwamwagia hela hawa waswahili na kuwapa majumba ughaibuni halafu unawaslave wenzao kupitia ujinga wa ndugu zao.

Kwa sababu ya ulimbukeni wa Mali na maisha duni kwenye ukoo waswahili wengi wanakimbilia kwenye high life za kupewa na kuiweka rehani nchi yao ilihali wakifa huo utajiri unaishia kizazi cha kwanza tu maana familia nzima unakuta ni malimbukeni na sio business oriented community inayoweza kugenerate generation wealthy..

Muarabu Muislamu hawezi kukupeleka peponi, bali kuuishi kwako Uislamu ndio kunaweza kukupeleka peponi, Uislamu ni dini na Uarabu ni kabila tu.. Muarabu hawezi kuwa ndugu yako mweusi bali mweusi mwenzio ndio ndugu yako.
Mzungu Mkristo hawezi kukupeleka peponi wala kuwa ndugu yako kama anavyoweza kuwa mweusi mwenzio.
Tuache kutesa WA Africa weusi wenzetu kwakuneemesha weupe wasiotuthamini wala kuwaza future za Mataifa yetu zaidi ya kutafuna mali zetu na kuhamisha hela.
Muarabu na Mzungu Africa au Tanzania kwao ni shamba tu na mwenye jukumu la kuijenga na kukuza uchumi wa Tanzania ni Mtanzania mwenyewe mweusi kutoka Kazuramimba.

Tuamke tuipiganie nchi yetu dhidi ya uharamia.

ndani ya Kabul Afghanistan.
Mkuu kwanza hongera sana kwa kutoa comment maridhawa ambayo imegusia kiundan sana chanzo cha matatizo tuliyonayo kama taifa.

Tena hii comment yako ilistahili kuwa thread kabisa hili watu tuje tuchangie mawazo kwa upana zaidi.

Ni kweli kabisa tukiachana na uongo chanzo kingine cha kukosekana uzalendo kwa viongozi wa mataifa maskini kama Tanzania ni tamaa ya kutaka kuishi maisha ya anasa wao na familia zao.

Yaan kiongozi wa kiafrika akimwagiwa mapesa ambayo yatamfanya awe na uwezo wa kuwasomesha watoto wake CANADA na familia yake kutibiwa India... basi yuko tayari kuwauza hata weusi wenzie sio tu rasilimali pekee.

Viongozi wetu wa kiafrika(with kikwete as prime example) siku zote huwa wana hofu na utajiri wao walioupata kimagumashi kupitia nyadhifa walizowahi kushika na wako tayari kuulinda kwa gharama yoyote ile hata kwa damu za watu hili vizazi vyao viendelee kunufaika na utajiri huo.

Mtu mweusi ndio anayeongoza kwa umimi na kutojali kabisa watu wengine wa jamii yake, na ndio maana yuko tayari kuliweka rehani taifa kwa maslahi ya familia yake na kizazi chake cha hapo baadae.

Huu ubinafsi uliokithiri walionao viongozi wa kiswahili ni nadra sana kuuona kwa hao warabu na wazungu ambao wameigeuza nchi yetu shamba la bibi.

Kuna sababu nyingi sana kwanin viongozi wa kiafrika na waafrika kwa ujumla wanadharaulika duniani kote nje ya bara la afrika.

Haiwezekani mimi nakuja kwako kukuhonga pesa ya nyanya ya kukufaidisha wewe na familia yako tu, halafu wewe unanikabidhi bandari au migodi iwe chini yangu kwa mkataba ya milongo zaidi ya mitatu, halafu utegemee eti niendelee kukuheshimu.

Hili taifa kwa hapa tulipofika tunahitaji kulikomboa kutoka kwenye mikono ya hawa waswahili wasiojali kabisa maslahi ya taifa zaidi ya familia zao na jamaa zao wa karibu.
 
Wewe tena, MTU WA system unaulzia, nikajua unavyopiga kelele hapa jf NI MTU WA system kumbe Kiazi
Asilimia kubwa ya watetezi wa serikali ya ccm hususani hii ya Samia humu mitandaoni ni mambwa kachoka tu hawako kwenye system wala hawana influence ya aina yoyote ile ndani ya serikali na ndani ya chama.

Wao wapo tu huku mitandaoni kupiga kelele kisha baada hapo waanenda kurushiwa makombo na mafisadi.

Hakuna mwana ccm hasa wala ccm daraja la kwanza ambao wako mitandaoni huku wanajibizana na watu wa NRNE.

Ccm ambao ni wanufaika wa system wako bize na kulitafuna taifa.
 
Ila jamaa kakosea sana kutuma Mkwaju mtandaoni daah aisee na kaona kawaida tu wao walivyoitawala Iringa wanajua ni Tanzania nzima..
 

ā˜ļøHuko ndiko nchi inapoelekea tushawaeleza, sasa tudhani hizo ni ngonjera tu.

Hatuna exception na Mexico au nchi yeyote duniani ambapo wafungwa wenye uwezo kutoroka ni rahisi—Msingi wake ni corruption serikalini na magereza.

Kusamba kwa madawa ya kulevya ni corruption ndani ya vyombo vya ulinzi (vyote).

Hatuna exception na Nigeria, Congo au nchi yeyote ambayo jeshi lake linazidiwa na wanamgambo kama Boko haram, M23, Haiti gangsters—msingi wake ni corruption serikalini na nepotism hadi kwenye vyombo vya ulinzi na kupandishana vyeo haraka bila ya merit. Matokeo yake Army officers hawawezi strategies za vita.

Sasa kila sehemu inaelekea kuwa hivyo Tanzania (tuko hatua za kati tu) lakini nina uhakika ndani ya miaka mitano; CCM itafikisha lengo lake la kuharibu nchi imagine uraia utakavyokuwa uraia unatolewa kirahisi na uhamiaji ni hela tu.

Watch this space
Kaka comment yako iko underrated, na watu wengi wataipuuza hususani hawa machawa wakiona kama ni maneno ya kipuuzi tu.

Ila naamini kabisa kwa wana JF watakaokuwepo miaka 15 ijayo watajionea maneno yako yakitimia.

Ni kweli tumebakiza hatua chache sana kuelekea kwenye failed state condition sababu ya kuendekeza rushwa na ufisadi kuona ndivyo jinsi maisha yanavyotakiwa yaende.

Yaan ni mwendo wa kuendekeza pesa, mtu mwenye pesa ana uhuru wa kufanya chochote anachojiskia na akitokea mtu kukomesha huu ushenzi anaambiwa ana wivu na anaupenda umaskini.

Leo hii kwenye mataifa kama Colombia na Mexico magenge ya uhalifu yana nguvu sana kuliko serikali sababu huko nyuma waliendekeza sana rushwa na ufisadi kiasi kwamba wakaruhusu majitu yenye pesa kuiweka serikali mfukoni, hatimae tendency hiyo ikaota mizizi.. na sasa hawana la kufanya.

Imefika mahali nchi kama Colombia mgombea uraisi anafadhiliwa na drug cartels kwa miahadi ya kulinda maslahi yao akishinda uraisi... jambo kama hili linashangaza sana ukiliskia kwa mara ya kwanza, lakini lilitengenezwa na wao wenyewe.

Sasa hivi hapa nchini kwetu watu ambao tumewapa dhamana wako bize na kujenga utajiri na hakuna anayejali ustawi wa taifa.. yaan kila mmoja anatumia nafasi aliyopo kutengeneza pesa haijalishi ni kwa kuuza rasilimali za taifa au kuiba kodi za wanainchi, hakuna anayewazia usalama au kesho ya taifa hili..

...Watu wanajiwazia wao tu na familia zao, ila ngoja ipo siku tutajifunza kwa njia ngumu sana.
 
Kwanza fuatilia kinachojadiliwa. Hakuna mtu anayedhani iko siku Hela zitagawiwa mitaani kama sadaka.

Lakini hapa mjadala wangu na wako si wa hii passport tena, bali kati ya watoa baiskeli na wale ambao hawajatoa.

Tatizo ukiwa na fikra za utukuzaji mtu unaacha kufikiria kuwa Dunia haipiganii mali bali usawa kwenye kuipata hiyo mali.

Kwa akili hizi iko siku utatetea wauza madawa ya kulevya.
Huyo mpuuzi wa kujiita ChoiceVariable ukiikosoa serikali ya samia, anachofanya yeye ni kutaja vitu kadhaa vichache alivyofanya samia hili kufunika mabaya yake, kisha baada ya hapo kinachofanya anabadilisha kabisa mantiki ya mjadala na kuleta mlinganisho kati ya serikali ya S100 vs serikali ya JPM, mnahama kabisa mada, mnaingia kwenye mjadala mwingine kabisa...

...na ukishamjibu tu anaanza kuleta zile screenshot zake kutoka pages mbali mbali ambazo ni obvious zinapostiwa na machawa wenzie kuipamba serikali.

Yaan karibu kwenye mada zote anazobishana na watu humu, lazima kuna mahali atalazimisha kuingiza suala JPM VS SAMIA tena katika dhima ya kipuuzi kabisa ya kutaka kuhalalisha mabaya ya samia kwa kutaja mabaya ya Magufuli.
 
Umeandika uongo ili upate faida ipi? Hili jukwaa kwa nini mnalifubaza?
Wanaoruhusiwa kuwa na diplomatic passport ni Hawa tu
View attachment 3442030
View attachment 3442031
Kaka usishangazwe sana hiyo uliyemjibu hii comment ni miongoni mwa wasomi njaa waliojaa nchi hii, ambao kwa makusudi wameamua kuziweka akili zao mfukoni hili kuwatetea na kuwatumikia watawala wa nchi hii ambao wanaichezea kadri wanavyotaka.

Huyo ni miongoni mwa wale wana ccm daraja la mwisho yaani maskini walioingizwa kwenye system kwa ujira duni hili taaluma yao isipotee.
 
Back
Top Bottom