Hakuna tena nchi za ulaya mashariki zote karibia zimekuwa EU labda huko Russia na BelorussiaNadhani ulaya ya Mashariki, Asia na Arabuni ndiyo Kuna nchi zinazichukulia hizi Pasipoti za kidplomasia za Afrika angalau kwa uzito kidogo. Maana bado utatupiwa jicho.
Hata Dubai au Saudi wanakaguliwa kama kawaida
Labda wakieenda Zimbabwe au Zambia huko ndio wana angalau