Ahmed Assas ana hati ya kusafiri ya kidiplomasia kwa hadhi ipi aliyo nayo? Nchi imeoza hii

mwisho wao utafika na wakifa sisi tutafanya sherehe
 
🤣🤣 Unavyoiteteaga CCM nkajua nawewe unakula mema ya nchi kumbe Fala Tu , umenishangaza Sana nikajua hao NI watu mnaojuana kumbe wewe mwenyewe hujui kitu unatuuliza Sisi walalahoi tena
Kwamba samia au majaliwa anajuana na asas(kila mwana CCM),na hawajuani unashangaa kweli!!
Sitetei CCM,natetea nchi
 
Haya ni machache yaliyopo hadharani. Hatuyajui ya sirini. Sote tunaijua hadhi ya kuwa na passport yenyewe hadhi ya kidiplomasia. Huyu mfanyabiashara anapitisha biashara ngapi kwa kutumia pass ya kidiplomasia aliyopewa? Waliyompa wamelipwa kiasi gani? Je serikali ni kweli haijui na kufahamu juu ya jambo hili.

Niseme tu kwa ufupi watanzania wenzangu mkiona mambo kama haya yapo hadharani basi mjue ya sirini yanatisha. Tuliombee taifa letu huyu mama kadhamiria iwe ni yeye au Wana Mtandao.
View attachment 3441509

Ni kamanda wa UVCCM, aliwahi kuonekana akikagua askari kwenye kambi ya mafunzo UVCCM huko Iringa.
 
Haya ni machache yaliyopo hadharani. Hatuyajui ya sirini. Sote tunaijua hadhi ya kuwa na passport yenyewe hadhi ya kidiplomasia. Huyu mfanyabiashara anapitisha biashara ngapi kwa kutumia pass ya kidiplomasia aliyopewa? Waliyompa wamelipwa kiasi gani? Je serikali ni kweli haijui na kufahamu juu ya jambo hili.

Niseme tu kwa ufupi watanzania wenzangu mkiona mambo kama haya yapo hadharani basi mjue ya sirini yanatisha. Tuliombee taifa letu huyu mama kadhamiria iwe ni yeye au Wana Mtandao.
View attachment 3441509
Ona hii nyumbu haijui hata maana ya passport ya kidiplomasia.
 
Haya ni machache yaliyopo hadharani. Hatuyajui ya sirini. Sote tunaijua hadhi ya kuwa na passport yenyewe hadhi ya kidiplomasia. Huyu mfanyabiashara anapitisha biashara ngapi kwa kutumia pass ya kidiplomasia aliyopewa? Waliyompa wamelipwa kiasi gani? Je serikali ni kweli haijui na kufahamu juu ya jambo hili.

Niseme tu kwa ufupi watanzania wenzangu mkiona mambo kama haya yapo hadharani basi mjue ya sirini yanatisha. Tuliombee taifa letu huyu mama kadhamiria iwe ni yeye au Wana Mtandao.
View attachment 3441509
Kwani Ukiwa na diplomatic passport ndio inakupa nini Cha ziada?

Tufanye ni kweli mizigo halikaguliwi inakuaje waliokagua walishindwa kufikia level hizi za Mapato?
thechanzo_1751436711797.jpg
20250702_090951.jpg

Sasa Kwa akili tuu ya kawaida ni kipi Bora tukague harafu tupate kiduchu au tusikague tupate zaidi?

Naomba majibu Ili tuongee Kwa namba na facts badala ya uzushi.
 
Ni mjumbe wa Kamati kuu.Anastahili
 
Kwani Ukiwa na diplomatic passport ndio inakupa nini Cha ziada?

Tufanye ni kweli mizigo halikaguliwi inakuaje waliokagua walishindwa kufikia level hizi za Mapato?
View attachment 3441683View attachment 3441684

Sasa Kwa akili tuu ya kawaida ni kipi Bora tukague harafu tupate kiduchu au tusikague tupate zaidi?

Naomba majibu Ili tuongee Kwa namba na facts badala ya uzushi.
Kama tunakusanya fedha nyingi hivyo kwa nini huduma za afya,maji,elimu,miradi ya barabara nk inakwama.
 
Back
Top Bottom