Ahmed Assas ana hati ya kusafiri ya kidiplomasia kwa hadhi ipi aliyo nayo? Nchi imeoza hii

Ahmed Assas ana hati ya kusafiri ya kidiplomasia kwa hadhi ipi aliyo nayo? Nchi imeoza hii

Najua... Lakini Uraia si jambo dogo kuliko hiyo Pasipoti ya kidplomasia.
Nimechimba mahali hii ni list ya watu wenye hadhi ya kupewa hiyo passport
Screenshot_20250814_220241_Drive.jpg
Screenshot_20250814_220309_Drive.jpg
Screenshot_20250814_220413_Drive.jpg
Screenshot_20250814_220427_Drive.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20250814_220326_Drive.jpg
    Screenshot_20250814_220326_Drive.jpg
    282.8 KB · Views: 22
We hujuwi kitu, wakati alipoingia magu watu wengi waliyokuwa na pass za kidiplomasia bila kuwa na kigezo hadhi ya kuwa nayo waliambiwa wazirudishe
Watu walizitumia kwa manufaa yao tu na wengine walikuwa wanaburuza sana mizigo haramu
Kisa wana diplomatic pport

Ova
sheria ya Tanzania iko wazi sana dhidi ya wanaostahili aina hiyo ya passport gentleman, na hayupo wa kukupoka ispokua sheria yenyewe 🐒
 
Kama wamelogwa hivi... Hata mume aliyelishwa limbwata hawi kama wao😆😄
Watu waliburuza bana wakiwemo wasanii
Kuna mambo unaweza ongea humu sema ndy hivyo...
Alafu hyo lzm mtu wa uhamiaji atakuwa kavujisha

Ova
 
malofa wa masuala ya kidipolomasia wakikutana hupotoshana kindezi sana dah

ama kwa hakika jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza kinene 🐒
Tueleweshe Wewe mjuzi nyie mnaojuaga kila kitu Muchnow
 
Kuna yule kiongozi mkuu wa wahuni alihongwa mtoto mzuri mwenye rangi ya Mtume from Dubai, na hiyo familia ikatumika kama mdhamini wa hiyo mtoto mzuri! Baada ya hapo mhuni alitoa kila walichotaka.

Na ndiyo kuanzia kipindi hicho, hiyo familia ikaanza sasa kuogele kwenye utajiri wa kutisha, kuwa juu ya sheria, kuwa na hadhi ya kipekee na ya upendeleo, nk! Na nasikia mhuni alioa kabisa huyo binti kutoka nje ya nchi. Hii taarifa hakuna asiyeifahamu pale Kamwene Town. Huyo kiongozi wa wahuni anatambulika kama mkwe akifika yale maeneo.
 
Mwambieni Mange, KHARIB WA GSM akitaka kuingia USA anaingia kama muwekezaji na anapata Visa faster tu, hivyo hivyo kwa Mo, Rostam nk.... Sisi watoto wa Tandika visa ya USA lazima tukaroge na kuwasha ubani sana.

ndani ya mitaa ya Kabul Afghanistan.
Huko kwakina GSM umeenda mbali sana wakina baba levo na wenzake wanaingia US kama wanaingia makambako vile daily yani.
 
Mwambieni Mange, KHARIB WA GSM akitaka kuingia USA anaingia kama muwekezaji na anapata Visa faster tu, hivyo hivyo kwa Mo, Rostam nk.... Sisi watoto wa Tandika visa ya USA lazima tukaroge na kuwasha ubani sana.

ndani ya mitaa ya Kabul Afghanistan.
We Nyau Visa sio Passport. Unaweza ukawa na passport ukanyimwa Visa.
 
sheria ya Tanzania iko wazi sana dhidi ya wanaostahili aina hiyo ya passport gentleman, na hayupo wa kukupoka ispokua sheria yenyewe 🐒
Diplomatic pp anapewa mtu mwenye hadhi ya kidiplomasia tu
Na ukiwa na pp hii unapewa hadhi ya kidiplomasia,unapewa kinga kinga,unatambulika,kuna tax free,protokali za Airport ww utaziepuka,
Wenye diplomatic pp ni watumishi wa kiserikali tu

Sasa huyu kama kapata ni mtumishi au anasafiri kwa shuguli za kiserikali (hebu tuache kutetea upumbv wkt mwingine)

Ova
 
Nchi ilisha porwa zamani tunacho shukuru mvua zinanyesha na mashamba yetu tunavuna ila vinginevyo tungesaga meno
 
Back
Top Bottom