Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Idiot mkubwa wewe! Watu wangapi wameuawa na utawala wa wakristo? Acha upumbavu wewe
Hapa unaanza kupandisha majini.... Hajakujua wewe mjukuu wa Muddy... š¤£
Idiot mkubwa wewe! Watu wangapi wameuawa na utawala wa wakristo? Acha upumbavu wewe
Hili lijama lihumi sijui kwann Bado linazurura hapa duniani ,linafaa kurudi mavumbiniHalafu wanaotumwa kuteka na kuua ni watoto wa masikini, wanatumwa kuua masikini wenzao
Hapa unaanza kupandisha majini.... Hajakujua wewe mjukuu wa Muddy... š¤£
Huyo Tlaatlaah siyo wa kumtilia maanani hapo yupo mazoezini anataka kuanzisha kikundi cha uchekeshajiššNdo utuelimishe sisi ndezi tuelewe ukute hata ww huelewi umeandika TU hapa
š”š”šššš Asante ngoja niendlee na mambo mengineHuyo Tlaatlaah siyo wa kumtilia maanani hapo yupo mazoezini anataka kuanzisha kikundi cha uchekeshajišš
Hapo angekuwa Mbantu mwenzenu hata awe na pesa kiasi gani asingepewa hiyo Passport lakini kwasababu huyu ni MuAsia aliyewekeza Bongo anapewaHaya ni machache yaliyopo hadharani. Hatuyajui ya sirini. Sote tunaijua hadhi ya kuwa na passport yenyewe hadhi ya kidiplomasia. Huyu mfanyabiashara anapitisha biashara ngapi kwa kutumia pass ya kidiplomasia aliyopewa? Waliyompa wamelipwa kiasi gani? Je serikali ni kweli haijui na kufahamu juu ya jambo hili.
Niseme tu kwa ufupi watanzania wenzangu mkiona mambo kama haya yapo hadharani basi mjue ya sirini yanatisha. Tuliombee taifa letu huyu mama kadhamiria iwe ni yeye au Wana Mtandao.
View attachment 3441509
SIUNGI mkono masuala ya dini ila kuja ujinga mwingi sana unafanyika hapa Tz. Sio suala la dini.bora nyie makafiri wauaji na wezi au?? Msahau kupewa tena taifa
DuuuhShemeji yake Kikwete
Je unajua anaweza kupita mpaka wowote bila kukaguliwa?Najua... Lakini Uraia si jambo dogo kuliko hiyo Pasipoti ya kidplomasia.
Tatizo ni Uislam??Hii nchi watawala wakiislamu wanaiharibu sana basi tu
Hapa ndio kwenye kiini cha tatizo la nchi hii..Hii nchi watawala wakiislamu wanaiharibu sana basi tu
Anajimwambafai kwa sasa nchi ipo mikononi mwaoMimi sio mtaalamu wa mambo ya passport ila nimemdharau Ahmed kwa hizo show off za kijinga.
Leo naona neno "Ulofa" upo nalo sana. Nikuongezee na hili la "bwege mtozeni"bakini na ulofa wenu mkipotoshana gentleman š
We hujuwi kitu, wakati alipoingia magu watu wengi waliyokuwa na pass za kidiplomasia bila kuwa na kigezo hadhi ya kuwa nayo waliambiwa wazirudishemalofa wa masuala ya kidipolomasia wakikutana hupotoshana kindezi sana dah
ama kwa hakika jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza kinene š