Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Fatah unamjua lakini?Shemeji yake Kikwete
bora nyie makafiri wauaji na wezi au?? Msahau kupewa tena taifaHii nchi watawala wakiislamu wanaiharibu sana basi tu
malofa wa masuala ya kidipolomasia wakikutana hupotoshana kindezi sana dahHaya ni machache yaliyopo hadharani. Hatuyajui ya sirini. Sote tunaijua hadhi ya kuwa na passport yenyewe hadhi ya kidiplomasia. Huyu mfanyabiashara anapitisha biashara ngapi kwa kutumia pass ya kidiplomasia aliyopewa? Waliyompa wamelipwa kiasi gani? Je serikali ni kweli haijui na kufahamu juu ya jambo hili.
Niseme tu kwa ufupi watanzania wenzangu mkiona mambo kama haya yapo hadharani basi mjue ya sirini yanatisha. Tuliombee taifa letu huyu mama kadhamiria iwe ni yeye au Wana Mtandao.
View attachment 3441509
RabaikaHaya ni machache yaliyopo hadharani. Hatuyajui ya sirini. Sote tunaijua hadhi ya kuwa na passport yenyewe hadhi ya kidiplomasia. Huyu mfanyabiashara anapitisha biashara ngapi kwa kutumia pass ya kidiplomasia aliyopewa? Waliyompa wamelipwa kiasi gani? Je serikali ni kweli haijui na kufahamu juu ya jambo hili.
Niseme tu kwa ufupi watanzania wenzangu mkiona mambo kama haya yapo hadharani basi mjue ya sirini yanatisha. Tuliombee taifa letu huyu mama kadhamiria iwe ni yeye au Wana Mtandao.
View attachment 3441509
Mbunge wa wapi?Hivi hakuwahi kuwa mbunge?
Katoa Siri eenh?Mimi sio mtaalamu wa mambo ya passport ila nimemdharau Ahmed kwa hizo show off za kijinga.