Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,656
- 9,074
Top Ten ya wapi wakati unakimbia uwanjani hutaki kucheza?Simba ni club kubwa no.1 Tanzania,Africa mashariki na kati haiwezi kupangiwa na club ambayo tokea Dunia iumbwe haijawahi kuingia kwenye top ten za CAF
Tarehe 15 mbona hamkuleta timu?Kwa mnavyocheza mtawakimbia Yanga mpaka lini aisee hata mkifika Mkapa hiyo tarehe 25 inabidi mageti yafungwe kabisaa mnaweza kutafuta tawi lingine nyie si mlisema mna Mpanzu njooni Mkapa..
Mtatukimbia mpaka lini wazee njooni kesho kutwa mchukue ubingwa wenu..Tarehe 15 mbona hamkuleta timu?
Msije mkaweka mabaunsa tenaMtatukimbia mpaka lini wazee njooni kesho kutwa mchukue ubingwa wenu..
Timu kubwa inalalamika kupangiwa kiwanja pamoja na muda wa kucheza na Timu ndogo kama Berkane..Simba ni club kubwa no.1 Tanzania,Africa mashariki na kati haiwezi kupangiwa na club ambayo tokea Dunia iumbwe haijawahi kuingia kwenye top ten za CAF
Zile zilikua porojo mazee hizi Timu zote zina njaa sana ya kutengeneza uwongo kama hawaitaki hiyo mechi..Msije mkaweka mabaunsa tena
Mtabiri wa jf DR Mambo Jambo anasemaje kuhusu kipigo kijacho??Huelewi nini?, mwenzako anasema mechi ya mwisho akiwa nyumbani!!. Hamn uwezo wa kugoma katu.... Kinachowaponza ni midomo yenu ndio maana mnaona aibu kusema mtacheza 😂😂. Ni aibu kupeleka timu wqkati mlishasema hamchezi afu mnaleta timu. Kama nyie wanaume msilete timu!
Siku j5
Trh 25
Mwaka2025
Tutawqpiga gori 5.
Ametamka ni mechi ya mwisho, RAUNDI YA 30.Mechi ya mwisho kutumia uwanja wa nyumbani
Tarehe15 uliogopa niniMtatukimbia mpaka lini wazee njooni kesho kutwa mchukue ubingwa wenu..
Tarehe 8 uliogopa Nini mkuuTarehe15 uliogopa nini
Hatuwezi kupangiwa na wajinga jinga ambao wakati sisi tunacheza The African Football League (AFL) walikua wanatuangalia kwenye TvSimba ni club kubwa no.1 Tanzania,Africa mashariki na kati haiwezi kupangiwa na club ambayo tokea Dunia iumbwe haijawahi kuingia kwenye top ten za CAF
Soon Nitasema leo hiiDR Mambo Jambo sema jambo basi, kwa hesabu za kinajimu, hii gemu imekaa upande wa nani??
Wewe soon zako tunazijua, imeisha hiyoSoon Nitasema leo hii