Pre GE2025 Ahobokile Mwaitenda anusurika kuuawa kwa kuukosoa mkataba wa bandari!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nimecheka sana mh waziri mkuu kuna clip nimeona anasema watanzania tuwamini , kwamba serikali ya tz imewatega DP WORLD, Ila Majaliwa kiboko, unamtegaje Dp WORLD kwa mkataba ule?
Ukimwangalia Kwa mwonekano wa nje ameweka pause, anaonekana mtu makini, bright Kweli Kweli.
 
Ya Mchungaji Christopher Mtikila, Dkt. Sengondo Mvungi, Prof.Juan Mwaikusa, Prof.Nicas Mahinda yamerudi tena kwa kasi ya unami hapa nxhini.
Kuua wakosoaji kamwe haijawahi kuwa suluhisho la matatizo. Endapo kama wangefanikiwa kumuua mtu huyu kama walivyodhamiria, Je, mapungufu yaliyopo kwenye huo Mkataba wa Bandari ndio yangeondoka???????
 
Hizi nondo hakuna wa kujibu, labda Kitenge na Zembwela au yule professor wa majalalani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…