Ahsante Kikwete, utajiri mpya Tanzania

Mi naamini Mtwara ndio ilikuwa bustani ya Eden ya Adam na Eve/Hawa.Mbona kila madini yanapatikana huko tu?Tena malighafi nyingine hazipatikani duniani kote ila Mtwara zipo.Naiomba serikali iutangaze mkoa wa Mtwara kama mkoa "takatifu".
Mkuu tunayajua kuhusu mtwara ni kidogo sana kuliko tusioyajua.

Mtwara kuna mambo mengi sana ni wakati sasa Serikali yetu na wahisani kuangalia kwa jicho tatu
 
Kikwete anahusika vipi hapo, tafiti za madini Tanzania ni za miaka mingi, hata kabla hajaingia madarakani
Hivi unafahamu yeye ndio aliyetuangusha kwenye dhahabu akiwa waziri wa Madini?

Soma tafiti hii ilianza lini.

Ukiongelea dhahabu basi uelewe kuwa inachimbwa tokea ukoloni.

Aliyewaingiza mkenge kwenye mikataba ya uchimbaji dhahabu ni Mkapa na si Kikwete.

Kikwete alivyokuja na baada ya kusikia upinzani wakilalamika sana bungeni kuhusu hilo, akaanzisha tume ya kupitia upya mikataba ya dhahabu na akamuweka mpinzani kuongoza hiyo tume. Umesahau nikukumbushe au ulikuwa bado kinda?
 


Rekebisha kauli yako kidogo, Kikwete si mtu wa kusifiwa kamwe.
 
Mi naamini Mtwara ndio ilikuwa bustani ya Eden ya Adam na Eve/Hawa.Mbona kila madini yanapatikana huko tu?Tena malighafi nyingine hazipatikani duniani kote ila Mtwara zipo.Naiomba serikali iutangaze mkoa wa Mtwara kama mkoa "takatifu".

Kwa kina Jomba Nchumali.
 
Tafiti za madini sio za muda mfupi na wala sio kampuni moja ndio inaanza, hiyo Graphite na rare earth zingine zilishafanyiwa utafiti miaka mingi, walikuwa wanaanza hawa wanashindwa wanauza kwa wengine, hivyo hawa waliofikia stage ya resource drilling hawakuanza wao waliingia kwenye eneo lililokuwa na tafiti tayari,
 

Nimekuambia soma na utueleze utafiti huu niliouleta hapa ulianza lini.

Wacha kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.
 
Kiongozi wa ile kamati alikuwa jaji mstaafu mark Bomani, Zitto alikuwa mjumbe wa kamati acha kupotosha.
 
...Dr. JK aliweka msingi bora kabisa na imara ambapo Dr. Magufuli anasimamisha ukuta, kama muda utamtosha anaweza kuezeka na kupaka rangi.
 
JK alianzisha tafiti nyingi za madini na nyingi zimejaa matunda, sasa ni wa kati wa Magufuli kusimamia ipasavyo kuwa rasilimali hizo zinanufaisha Taifa na kuchangia pato la taifa baadala ya kuendelea kuwakamua wananchi na kodi na makato yaliyopitiliza kwa wafanyakazi
 
Kiongozi wa ile kamati alikuwa jaji mstaafu mark Bomani, Zitto alikuwa mjumbe wa kamati acha kupotosha.

Ni nani aliyemtaja Mwenyekiti?

Hivi hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Soma:

Hivi karibuni Rais Kikwete aliunda kamati hiyo, ikiwa ni siku chache baada ya kutoa ahadi ya kuunda kamati ya kuchunguza mikataba ya madini na kuwashirikisha viongozi wa vyama vya siasa kutoka upinzani.

SOMA ZAIDI: Kabwe Zitto: Sitajitoa kamati ya madini | Bongo5.com
 

Kwenye bandiko lako umesema"akamteua mpinzani kuwa Kiongozi wa tume"sasa Kiongozi wa tume ni nani kama sio mwenyekiti wa hiyo tume?
 
Acha kuwa mjinga kiasi hicho,kwenye bandiko lako umesema"akamteua mpinzani kuwa Kiongozi wa tume"sasa Kiongozi wa tume ni nani kama sio mwenyekiti wa hiyo tume? We bure kabisa

Sasa Zitto hakuwa kiongozi wa upinzani kwenye hiyo tume?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Sasa Zitto hakuwa kiongozi wa upinzani kwenye hiyo tume?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Kwahiyo Zitto ndo alikuwa Kiongozi wa hiyo tume kama ulivyosema hapo mwanzo?bure kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…