Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
Sina Mengi Mungu akubariki Sana mama ambaye umeona na kuthamini mchango wa wafanyakazi nchini.
Wewe uliyeona kuwa wafanyakazi nao ni watu wenye mahitaji, familia na changamoto kama Binadamu wengine.
Tofauti kabisa na mtangulizi ambaye aliamini wafanyakazi ni maroboti na wanatakiwa kufanya Kazi TU bila kuongezewa maslahi yoyote.
Naamini mama atarudi katika kanuni na taratibu za Utumishi wa uma ikiwemo Kutoa nyongeza ya kawaida kila mwaka kwa mujibu wa sheria na kupandisha madaraja KWA wakati.
Hongera mama
Kama vipi uongezewe Muda utake usitake!