Ahsante Rais Samia, hatimaye baada ya miaka 7 kazini mwezi huu nimepanda daraja

Ahsante Rais Samia, hatimaye baada ya miaka 7 kazini mwezi huu nimepanda daraja

naijua hii, weka id yako tofauti na hii nione

Kifurukutu since 2013 enzi izo uko kijijini kwenu wenzio tuko jijini tunaishi maisha yetu
Sasa na wale waliokuwepo tangu 2007/8 nao watasemaje! Anyway, walau umenizidi mwaka 1! Hivyo una haki ya kujitutumua.

 
Hivi kwa nini watu wa mtaani huwa mnakuwaga na roho za kichawi hivi?

Yaani hampendi kusikia wafanyakazi wanaongezewa mishahara.

Mtakufa kwa roho mbaya na ushirikina wa mchana.

Nyambafuu
Wewe sikujui Ila utakua ni mwalimu tuuu !!! Akili za kijinga hivi mnazo nyie!!! Sijui hao watoto watafaulu vipi aisee
 
Mm mkuu ofci yangu hawajatupatia barua mpk sasa na mwezi huu japo kina watu wamrkula new salary sisi bado .au ndio imetoka hiyo?
 
Back
Top Bottom