Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
Ni rahisi, angalia daraja ulilopo kwenye kada Yako, halafu angalia daraja la mwenzako mbele Yako kwenye kada hiyoHivi ukipanda daraja mshahara unaongezeka kiasi gani? Over 500k ama below?
Ikizidi sana unakuta Laki 1.5Hivi ukipanda daraja mshahara unaongezeka kiasi gani? Over 500k ama below?
Wewe sikujui Ila utakua ni mwalimu tuuu !!! Akili za kijinga hivi mnazo nyie!!! Sijui hao watoto watafaulu vipi aiseeSina Mengi Mungu akubariki Sana mama ambaye umeona na kuthamini mchango wa wafanyakazi nchini.
Wewe uliyeona kuwa wafanyakazi nao ni watu wenye mahitaji, familia na changamoto kama Binadamu wengine.
Tofauti kabisa na mtangulizi ambaye aliamini wafanyakazi ni maroboti na wanatakiwa kufanya Kazi TU bila kuongezewa maslahi yoyote.
Naamini mama atarudi katika kanuni na taratibu za Utumishi wa uma ikiwemo Kutoa nyongeza ya kawaida kila mwaka kwa mujibu wa sheria na kupandisha madaraja KWA wakati.
Hongera mama
Kama vipi uongezewe Muda utake usitake!
inaongezeka pesa ndefu tu mkuuHivi ukipanda daraja mshahara unaongezeka kiasi gani? Over 500k ama below?
Amekukosea nini hadi useme ana akili za Kijinga?. Kibaya kipi alichokiandika?Wewe sikujui Ila utakua ni mwalimu tuuu !!! Akili za kijinga hivi mnazo nyie!!! Sijui hao watoto watafaulu vipi aisee
C uwachukue uwafundshe wafaulu we vpWewe sikujui Ila utakua ni mwalimu tuuu !!! Akili za kijinga hivi mnazo nyie!!! Sijui hao watoto watafaulu vipi aisee
Tutegemee bei ya vitu kupanda mara dufuMimi hata wanipandishe huo mwezi ujao baada ya kunipotezea mwezi huu, nikiwa na watumishi wenzangu wengi tu!
Bado sina sababu ya kumshukuru!
Kwa sababu kupanda daraja, kuongezewa mshahara, kufanya kazi katika mazingira mazuri, nk hayo yote ni haki yangu kutoka kwa Mwajiri na wala siyo fadhila.
Kwani mafuta ya kupikia yalivyopanda bei mwaka 2020 kulikuwa na nyongeza ya mshahara?Tutegemee bei ya vitu kupanda mara dufu
Hii ndo inayofanya increment imezwe
Mfano Tu mwaka Jana maharagwe mbeya mwezi wa tatu wa nne yalikuwa 20,000 lkn mwaka huu hayajashuka 27,000 Kwa debe
Mungu ambaRiki Rais HassanSina Mengi Mungu akubariki Sana mama ambaye umeona na kuthamini mchango wa wafanyakazi nchini.
Wewe uliyeona kuwa wafanyakazi nao ni watu wenye mahitaji, familia na changamoto kama Binadamu wengine.
Tofauti kabisa na mtangulizi ambaye aliamini wafanyakazi ni maroboti na wanatakiwa kufanya Kazi TU bila kuongezewa maslahi yoyote.
Naamini mama atarudi katika kanuni na taratibu za Utumishi wa uma ikiwemo Kutoa nyongeza ya kawaida kila mwaka kwa mujibu wa sheria na kupandisha madaraja KWA wakati.
Hongera mama
Kama vipi uongezewe Muda utake usitake!