Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Jun 27, 2021 #41 Kifurukutu said: naijua hii, weka id yako tofauti na hii nione Kifurukutu since 2013 enzi izo uko kijijini kwenu wenzio tuko jijini tunaishi maisha yetu Click to expand... Sasa na wale waliokuwepo tangu 2007/8 nao watasemaje! Anyway, walau umenizidi mwaka 1! Hivyo una haki ya kujitutumua.
Kifurukutu said: naijua hii, weka id yako tofauti na hii nione Kifurukutu since 2013 enzi izo uko kijijini kwenu wenzio tuko jijini tunaishi maisha yetu Click to expand... Sasa na wale waliokuwepo tangu 2007/8 nao watasemaje! Anyway, walau umenizidi mwaka 1! Hivyo una haki ya kujitutumua.
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Jun 27, 2021 #42 Code-SSH-2025
M mathabane JF-Expert Member Joined Jan 27, 2013 Posts 2,405 Reaction score 1,894 Jun 27, 2021 #43 Hivi kwa nini watu wa mtaani huwa mnakuwaga na roho za kichawi hivi? Yaani hampendi kusikia wafanyakazi wanaongezewa mishahara. Mtakufa kwa roho mbaya na ushirikina wa mchana. Nyambafuu road master said: Wewe sikujui Ila utakua ni mwalimu tuuu !!! Akili za kijinga hivi mnazo nyie!!! Sijui hao watoto watafaulu vipi aisee Click to expand...
Hivi kwa nini watu wa mtaani huwa mnakuwaga na roho za kichawi hivi? Yaani hampendi kusikia wafanyakazi wanaongezewa mishahara. Mtakufa kwa roho mbaya na ushirikina wa mchana. Nyambafuu road master said: Wewe sikujui Ila utakua ni mwalimu tuuu !!! Akili za kijinga hivi mnazo nyie!!! Sijui hao watoto watafaulu vipi aisee Click to expand...
Kukudume2013 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 1,659 Reaction score 734 Jul 9, 2021 #44 Mm mkuu ofci yangu hawajatupatia barua mpk sasa na mwezi huu japo kina watu wamrkula new salary sisi bado .au ndio imetoka hiyo?
Mm mkuu ofci yangu hawajatupatia barua mpk sasa na mwezi huu japo kina watu wamrkula new salary sisi bado .au ndio imetoka hiyo?