Ahsante sana mzalendo aliyevujisha mkataba wa Dp World, Mungu akulinde, na akuzidishie maisha marefu kwa zawadi uliyotoa kwa mama Tanganyika.

Tunaomba mwenye hii mikataba atuwekee hapa
 
Attachments

  • 9F135B4A-30A5-4DB9-95D6-4C495DDEEA6E.jpeg
    66.2 KB · Views: 4
  • IMG_0804.MP4
    5.4 MB
  • C69561CD-611A-4954-9FC4-C38FC31C2DD0.jpeg
    140.9 KB · Views: 3
Regardless na point uliyo toa ila wacha nikupe MAUA YAKO KWA MWANDIKO MZURI ULIYO PANGWA NA KUPANGIKA mengine watasema wadau
 
Aaaaameni
 
Kama ni Me, aandae kabisa pu.mbu zake, zitaminywa hadi ashangae, kama ni Ke, nadhani chuchu zake zitakuwa flat...
..baada ya kusema hayo, nampa maua yake!!
 
Kama ni Me, aandae kabisa pu.mbu zake, zitaminywa hadi ashangae, kama ni Ke, nadhani chuchu zake zitakuwa flat...
..baada ya kusema hayo, nampa maua yake!!
Mkuu huyo alievujisha sio rahisi kukamatwa shida itakuja kwa mtu mwingine. Mfano huyo aliekuwa na hio documents anaweza kuonba simu akaituma kwako kwa Bluetooth then anaipandisha mtandaoni alafu anafuta na kukurudishia simu yako then anasepa zake
 
Ooh kwa hiyo alijipanga kabisa sio? Basi atakayekamatika nampa pole yake!!
 
Ndo hivyo mkuu unaweza kuta hata ni ww hapo simu yako imetumika bila kujua ila yote tisa kumu tunamshukuru maana kamaliza utata kila mtu asome achambue kipi ni kipi FaizaFoxy mwenyewe kashatuwekea hapa kwa lugha yetu ya kiswahili
mbavu zangu mie, nazani watakua wanaangalia kamera zote tangu watu walipotoka dubai nani aliingia chumba cha maangamizi, lakini mwamba sijui alikuwa. maana documenti kama ile ni nyara ya taifa ukikutwa nayo lazima uoge zote, lakini mwamba kawapa watanganyika wote wasome
 
Kama ni Me, aandae kabisa pu.mbu zake, zitaminywa hadi ashangae, kama ni Ke, nadhani chuchu zake zitakuwa flat...
..baada ya kusema hayo, nampa maua yak
hahahahaa
Hamna alievujisha,Mama kasema mikataba iwe waziristan tu.
hahahaha haya, na akili yako ni mkataba wa kuweka hadharani ule, ? kweli tunatofautiana utashi
 
Kama huko mjini kupata mkataba wa serikali ni mpaka uvuje, sisi huku kijiji cha mpiga miti hali ikoje? Ikiwa serikali ina utaratibu wa kuingia mikataba ya siri, watanzania watakaa kwa hali ya mashaka maana hawajui ni lini watapigwa mnada.​
 
Mkataba haujavuja wala kuvujushwa.

Mkataba ukishafika bungeni ukajadiliwa na bunge lote basi huo umeshakuwa public.

Wabunge wanawakilisha wananchi.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…