National Anthem JF-Expert Member Joined Aug 9, 2022 Posts 19,177 Reaction score 56,121 Sep 27, 2022 #41 Chris Hemsworth said: Mzee alikuwa mjeshi hiyo bakora ya jeshi alikuwa nayo ni ya kawaida sana ukilinganisha na magongo ya shule. Rumors tu lakini mimi naona maumivu ndio yaleyale. Click to expand... Hapana, zile stick achana nazo mkuu
Chris Hemsworth said: Mzee alikuwa mjeshi hiyo bakora ya jeshi alikuwa nayo ni ya kawaida sana ukilinganisha na magongo ya shule. Rumors tu lakini mimi naona maumivu ndio yaleyale. Click to expand... Hapana, zile stick achana nazo mkuu
National Anthem JF-Expert Member Joined Aug 9, 2022 Posts 19,177 Reaction score 56,121 Sep 27, 2022 #42 msomali90 said: Zajela hazifananishwi zile zinaitwa henzilani watu wanapelekwa cuba kusomea kuchapa unazan utan Sent from my DRA-LX2 using JamiiForums mobile app Click to expand... Jamaa analeta utani na zile kitu π π π
msomali90 said: Zajela hazifananishwi zile zinaitwa henzilani watu wanapelekwa cuba kusomea kuchapa unazan utan Sent from my DRA-LX2 using JamiiForums mobile app Click to expand... Jamaa analeta utani na zile kitu π π π
P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 18,406 Reaction score 14,643 Sep 28, 2022 #43 Hii sio adhabu kwa kosa husika hata kdg, rufaa ikatwe haraka kupambana na udhalilishaji huu!