Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 4,407
- 16,942
Loxodonta Africana dentist, to be precise.Dentist
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Loxodonta Africana dentist, to be precise.Dentist
Kwani aliyemhukumu ndiye mwenye mali auFISI Ni Mali Ya CCM
Upo sahihi lakini adhabu inayotolewa haiendani na kosa ni kukomoana. Unamkumbuka mama wa Iringa aliyehukumiwa miaka 20 kisa kakutwa na nyama swala?Mnyama pori anatakiwa aishi kipori pori kumfuga kiholela bila sababu ya msingi haifai.
Fine inalipwa kwa kutumia sarafu ya Dollar. Hii ni kuhakikisha kwamba siku zote pesa za madafu zitakuwa zinapanda kwani mara nyingi shilingi hushuka thamani yake dhidi ya Dollar. Hapo ndo tamaa inaingia.!!Kwa nini hawakuweka fine kwa kiswahili kama walivyoanza kwenye majina ya wanyama?
Mswahili ni mtu mwenye tamaa sana aseee!!!
Yeah. Ni kweli kabisa Adhabu haiendani na kosa kwani fisi alikuwa mzima buheri wa afya kitu kinachoashiria alitunzwa vizuri. Hata hivyo jamaa wa Game mara nyingi sio poa. Kwa nini haikuwa Fine??Upo sahihi lakini adhabu inayotolewa haiendani na kosa ni kukomoana. Unamkumbuka mama wa Iringa aliyehukumiwa miaka 20 kisa kakutwa na nyama swala?
Subiri Jopo shirikishi la waganga wamalize kikao chao cha dharura halafu tuone watatoka na azimio gani. Hapo patachimbika mwanawane.Huyo atakua alimtapeli mteja wake kwa uganga wa uongo uongo, mteja kadai hela na kuku wake mganga kamtishia kumtoa kafara, mteja uchawi haujui akaona awahi kwenye mamlaka ya serikali kama mbwai na iwe mbwai; mtu anakula mvua 20 kama masikhara vile; mbwa kala kubwa...Nimewaza tu! Lakini, mganga kwanini hakujigeuze hata nyau wakati wanakuja kumkamata?! 😕
Akimpata Wakili msomi na mwerevu anachomoka huyo.Ni uonevu, miaka 20 umri wa mtu.
Itakua balaa tupu huko hela, picha linaanza mfungwa anageuka fisi ambae serikali walisema ni nyara ya taifa!Subiri Jopo shirikishi la waganga wamalize kikao chao cha dharura halafu tuone watatoka na azimio gani. Hapo patachimbika mwanawane.
acha uchokozi wewe utawekaje picha ya mtu bila ridhaa yake usije sababisha forum yetu pendwa ikafungwa.Ila umeeleweka kwa wale tuliosoma Cuba kwa alama ya D
Aisee; huwa mwanzoni inaonekanaga kama utani fulani hiv; lakini kiukweli katika uhalisia wake inakuwa inakuwa ni mtafutano tena kimya kimya: aliyelianzisha, aliyelipokea na kulitekeleza (hapo ni Bwana Game Officer sio Hakimu) na mwisho ni aliyetoa hukumu ya kumkomoa. Woote hao lazima kinuke.Itakua balaa tupu huko hela, picha linaanza mfungwa anageuka fisi ambae serikali walisema ni nyara ya taifa!
Halafu anakuja mtu kukupora kwa nguvu usafiri wako adimu kisha anakusondeka ndani miaka 20 na viboko juu. Hii haikubaliki.Kanda ya ziwa ndio boda boda zao za asili
Ila hizo bodoboda ukiziachia zinatafuna watuHalafu anakuja mtu kukupora kwa nguvu usafiri wako adimu kisha anakusondeka ndani miaka 20 na viboko juu. Hii haikubaliki.
Hiiiii; ngoosha; Lazma mtu aumie.
Mbona hatujasikia kuna mtu aliyetafunwa? Usiku ni kwa wale wenye kazi zao e.g. Doria(askari/sungusungu) na wale wachache wenye "kazi maalum" na wanafahamiana na kuheshimiana sana. Lakini wewe "mtu nakadhalika" unajitoa ufahamu na unatembeaje usiku wa manane bila "ulinzi" wako binafsi? Ukitafunwa utakuwa umejitakia mwenyewe. Pumzika nyumbani na familia yako na uwaache wahusika waendelee na kazi zao bila bughudha,Ila hozi bodoboda ukiziachia zinatafuna watu
Simiyu kwani hipo congo ukiskia habari za hukoMbona hatujasikia kuna mtu aliyetafunwa? Usiku ni kwa wale wenye kazi zao e.g. Doria(askari/sungusungu) na wale wachache wenye "kazi maalum" na wanafahamiana na kuheshimiana sana. Lakini wewe "mtu nakadhalika" unajitoa ufahamu na unatembeaje usiku wa manane bila "ulinzi" wako binafsi? Ukitafunwa utakuwa umejitakia mwenyewe. Pumzika nyumbani na familia yako na uwaache wahusika waendelee na kazi zao bila bughudha,
Tofauti twigwa walikuwa wanaondoka kwa sheria, na baraka kutoka juu.Halafu twiga walikuwa wanapanda hadi ndege wanaondoka nje ya nchi
Fisi hawa hawa kweli hata kulika hawaliki ndo nyundo 20