Ven26
JF-Expert Member
- Jan 28, 2014
- 467
- 981
Na akati mwenzao alikuwa anawasaidia kufuga maliasiliHalafu twiga walikuwa wanapanda hadi ndege wanaondoka nje ya nchi
Fisi hawa hawa kweli hata kulika hawaliki ndo nyundo 20
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na akati mwenzao alikuwa anawasaidia kufuga maliasiliHalafu twiga walikuwa wanapanda hadi ndege wanaondoka nje ya nchi
Fisi hawa hawa kweli hata kulika hawaliki ndo nyundo 20
Acha ale chuma hicho, jamii ya watu wa Simiyu wamezidi, mwezi hauishi mtu hajaliwa na fisi, ukijiuliza kuna watu wanaishi na wanyama lakini husikii matukio kama hayo mf serengeti kuna jamii imezungukwa na kila aina za wanyama wakiwemo simba ila hawaliwi, ila wasukuma wanaua watu kwa njia za kichawi wakisingizia fisiNi uonevu, miaka 20 umri wa mtu.
Enhe! Kwani Simiyu ilikuwaje mkuu? Tunaweza kupata fununu hapo komenti # 42.Simiyu kwani hipo congo ukiskia habari za huko
Fisi wanamilikiwa na watu sana inafikia wanawazuru wananchi kama watoto mpaka kuleta kifoEnhe! Kwani Simiyu ilikuwaje mkuu?
Aaah! Mbona hiyo rahisi sana. CHUKUA TAHADHARI MAPEMA kabla ya HATARI. Kumbuka ulinzi wa mtu na mali zake unaanza na Mtu mwenyewe binafsi.Fisi wanamilikiwa na watu sana inafikia wanawazuru wananchi kama watoto mpaka kuleta kifo
Twiga huyo huyo kamchukue kimagumashi - Hakuna rangi utaacha kuona i.e. 20yrs+ 12 Strong Strokes on ur buttocks.Tofauti twigwa walikuwa wanaondoka kwa sheria, na baraka kutoka juu.
Twiga huyo huyo kamchukue kimagumashi