Acha ale chuma hicho, jamii ya watu wa Simiyu wamezidi, mwezi hauishi mtu hajaliwa na fisi, ukijiuliza kuna watu wanaishi na wanyama lakini husikii matukio kama hayo mf serengeti kuna jamii imezungukwa na kila aina za wanyama wakiwemo simba ila hawaliwi, ila wasukuma wanaua watu kwa njia za kichawi wakisingizia fisi