AI (akili bandia) haiwezi kuchukua nafasi ya utashi wa binadamu

AI (akili bandia) haiwezi kuchukua nafasi ya utashi wa binadamu

Ina maana tukishawekewa hivyo vi-chip vya Elon Mask shuleni ni kwenda kufuata PRACTICALS tu maana Theory una-download tu kupitia AI.... Na UFAHAMU wako utaishi MILELE maana tunanyofoa CHIP tunamdumbukizia ROBOT...
vitu viwili muhimu hapa kutokana na mtoa mada ni swala la pafomansi na memory, ambazo ziko automated, AI atatubuluza muda ni mwalimu,
AI haiwezi kufanya kazi bila command ya binadamu kwahiyo bado binadamu yuko juu

Sent using Jamii Forums mobile app
selfdriving cars binadamu anafanya command gani, binadamu alichofanya ameweza kuumba AI tech lakini sio lazima aendelee kuicommand kama ulivyoumbwa wewe ujeuri mwingi Kwa Mungu ndie aliekuumba ndivyo ilivyo.
 
Wazungu wamekuwa wakipambana kuwezeshwa AI (akili bandia) itawale sehemu mbalimbali na kuondoa uhitaji wa akili au maamuzi ya binadamu katika kufanikisha au kufanya kazi mbalimbali.

Kuna maeneo watafanikiwa ila sio kote, mfano haya magari ya kujiendesha yenyewe sio salama kabisa maana yapo programmed let's say ume li command gari kwenda point B alafu itokee mbele kuna daraja limekatika, lenyewe halina utashi wa kujizuia litaendelea tu mpaka kutumbukia haliwezi kujizuia, kamwe Nature hakuna binadamu ambaye anaweza kushindana nayo.
Kwamba ni bora ya hizi akili zinazoingia mikataba ya DP World kuliko akili bandia?
Ubandia wa akili bandia ni na sababu akili inafanya kazi nje ya kichwa cha mwanadamu, otherwise akili bandia haikujitengeneza yenyewe, nyuma ya akili bandia kuna mwanadamu.
Kwamba imekua programmed, huko ni kujidanganya, akili bandia imeshavuka hizo levels, inawaza sawa au zaidi yako tena ina accuracy na inajifunza vitu vingi kwa haraka na hausahau.
Kitu ambacho wewe unaizidi ni hisia tu.
 
nadhani issue sio maandamano san francisco kuna maandamano mengine yalitokea miezi miwili imepita hollywood Los Angeles County, wasanii walikua wana wasi wasi huhusu usalama wa kazi zao mbeleni, AI ina uwezo wa kuchukua kazi zote ndio maana wanaoijua AI vizuri wanaomba wao wenyewe regulation ziwepo mapema, mfano china wameshaanza kufanya upasuaji kutumia Ai, changamoto za robo tax ni changamoto ndogo, na hasa zinahusu ni kiasi gani bot aliopo kwenye tax husika amelishwa taarifa kuhusiana na maeneo anayofanya kazi.
Ufafanuzi mzuri
 
Hizi artificial intelligence zibaki kwenye masuala mahususi ya kiusalama ambako zinafanya vizuri sana.Kufanya kwake vizuri ni kwa sababu hazilali,hazichoki,hazisahau na kuchanganua mambo mengi kwa haraka na kutoa majibu sahihi kwa jambo mahususi.Kwenye mambo ya kijamii huku ni mtihani kidogo...!

AI haitumiki tu kwenye usalama, viwandani, aerospace. Na sehemu nyingi. Si kwenye ulinzi tu. Kwa viwanda vya wenzetu kuna baadhi ya kazi hawafanyi binadamu tena
 
Ina maana tukishawekewa hivyo vi-chip vya Elon Mask shuleni ni kwenda kufuata PRACTICALS tu maana Theory una-download tu kupitia AI.... Na UFAHAMU wako utaishi MILELE maana tunanyofoa CHIP tunamdumbukizia ROBOT...
chip zip mkuu
 
hakuna sinema iloniharibu, labda kitu nachokisema kinaeza tokea mwaka 2250 tukiwa ahela, lakini inawezekana kumtengeneza bot mmoja tukamlisha maarifa ya kutengeneza bot wengine na wakawa na utawala wao, vitu vingine vyote watavifanya kama tutawapa maarifa hayo, na tukawaacha waendelee na maisha yao.
Keep dreaming
 
Mkuu sio kweli kuwa kama daraja limekatika eti gari litaendelea sio kweli litasimama. Ndio maana likikutana mtu mbele linasimama. Lina camera za kudetect vitu.
Halafu kuhusu AI, policy zake kwa wote zinasema wazi kuwa AI haiwezi kuwa binadamu na AI haitakiwi kuonyesha persona characters.
baada ya miaka 2000 ijayo watu wataishi kama mazombi au malaika,na watakufa mapema zaidi sababu ya magonjwa.tunachoshukuru kizazi chetu kimeonyesha mwanga kwa dunia ijayo.new world order miaka 2000 ijayo
 
AI imetengezwa na binadamu , Haiwezi kumzidi binadamu ni Sawa na wewe useme unataka umzidi Mungu
kuna maeneo AI itamzidi binadamu na tutafika mahali tutakua 50/50, mfano kumbu kumbu 100% hatuiwezi AI, na kuchanganua mambo itategemea taarifa zipi ai imelishwa, kama ambavyo binadamu tunajifunza itakua vile vile, haya yote ni kwenye eneo la pafomansi na kumbukumbu, kusema eti AI haiwezi mzidi binadamu labda utoe mfano kwenye kitu gani?
 
Naunga mkono hoja AI haiwezi kumzidi binadamu lakini itakuja kuwa na uwezo wa kufanya mambo makubwa zaidi ya binadamu.
Nikirejea mfano wako wa maswala ya magari niseme kwamba swala la self driving car haliepukiki ,
SOMA HAPO [emoji116]

Tesla's FSD v12 is a REALLY big deal.

Last night ElonMusk livestreamed a ~45-minute video of a Model S driving itself around using Tesla's latest self-driving software, FSD v12.

Self-driving is something the company has been trying to solve since Tesla Autopilot was released in 2015. Since then, Tesla has made steady progress improving the code to handle all kinds of road situations, has added cameras around the car, and removed sensors, all the while rewriting the code multiple times to solve for things the car couldn’t handle.



And even though Tesla cars can drive themselves in many situations, the biggest challenge with self-driving cars is the thousands (or millions) of situations drivers face on a daily basis that are completely unexpected or difficult to solve for, like other drivers acting irrationally, inclement weather, debris on the road, weird (or lack of) lane markings, etc.

Up to this point, Tesla and other companies have to spend a large amount of time running through simulated scenarios to generate code that would teach the system how to handle these situations. This code is oftentimes written by a human and needs to account for every variation of something happening on the road. And even then, there are thousands (or millions) of situations that a simulation won’t come with, since real life is so damn complicated and complex.

The approach many have taken to try and solve this problem is by overfitting their self-driving cars with a ton of different sensors like LIDAR, radar, ultrasonics, cameras, and other sensors in addition to generating High-Definition maps of the areas where the cars are meant to be driven in. They’ve done this in hopes that there’s a combination of sensors and map data that would allow them to solve for the most unexpected situations. Here’s a picture of a GM Cruise vehicle that uses this approach.



However, yesterday’s video has demonstrated a breakthrough in how self-driving cars can operate.

Instead of using many sensors and hardware on their cars to process the world, Tesla is using 8 cameras and a computer that’s specifically built to process video data. That’s 9 total parts vs everyone else’s 30, 40, 50+ parts to process the world.

Using only vision to process the world and not needing things like LIDAR, radar, and other sensors to interpret the physical objects around the car is impressive enough, but HOW the car learns to do this is what the real breakthrough is.

With FSD v12, Tesla takes the video data that is collected by its fleet of ~4 million cars and runs it through an AI that is built using Neural-Nets (like ChatGPT but for the real world), and then the AI figures out what the car should do based on what it sees.

What’s important to highlight here is that Tesla has done 0 work in telling the car how it should interpret the world. That means that the AI doesn’t explicitly know what a lane is, what a traffic light is, what a stop sign is, what a cone is, what a pothole is, what rain is, etc.

What Tesla does is it shows the AI a metric-ton of video of a car driving around using the 8 cameras that are outfitted around the car, and the AI learns how to do the same. The more video Tesla feeds it, the better the system gets. The more unique situations that are collected from the fleet of Teslas, the better the system gets at accounting for those situations.

This “AI code” will then be beamed to every Tesla in the world, and the on-board computer will be able to process its surroundings without the need to connect to Tesla’s AI server. It’s no different than you or I getting into a car and driving it. Instead of our 2 eyes collecting video around us and using our brain to process the info, the 8 camera system will collect the video and Tesla’s on-board computer will process it using the “AI code”.

In other words, Tesla has moved away from humans figuring out how to write code that tells the car what to do, and instead feeds video to an AI, and the AI figures out the best way to account for every situation.

The only thing Tesla needs moving forward is more video and more compute power (chips) to process videos.

That’s it.

This is profound. Everything that is captured on video with the 8 camera system is something the AI will be able to figure out how to navigate through. Snow. Potholes. Deer. Cyclists. Aliens. You name it. And this “code” that is generated by the AI will get better and better as Tesla’s compute capabilities grow with their purchases of NVIDIA’s H100 chips and the build-out of their in-house DOJO compute system. Not to mention the growing fleet of Teslas that will capture more and more video data around the world. Every Model S, 3, X, and Y that is sold today is a video-capturing robot that feeds the AI. And every Cybertruck and Compact Car will be the same.

And believe it or not, it gets even crazier.

Now that Tesla has come up with a real-world data collection and processing system with its cameras and on-board computer, this same system can be used on other physical products that can learn how to move around its surroundings.

This is where Tesla’s Optimus Bot comes into play. Tesla will be able to use its 8 camera system on the Tesla Bot to collect video of its surroundings, beam it back to the AI, the AI figures out how to best do that thing that it’s collecting video for, and then beam back the “AI code” for the Bot to process with its on-board compute.

We are not far away from a world where a humanoid robot watches you do the dishes, sends back the data to the mothership to process it, and then the next morning the Bot has learned how to do the dishes - not only using the video it gathered from you doing it, but from every other person in the world washing dishes.

Do this process with literally anything.

ChatGPT showed the masses what the potential of AI can be. NVIDIA showed the masses just how much demand there is for hardware that is used by AI systems.

And now, Tesla just showed the masses what AI means for real-world physical applications.
 
Haya yatukumbushe ukweli wa kwamba: Maendeleo/Mageuzi na Ustawi Maridhawa wa Jamii/Taifa/Nchi-dola, 2023 na Kusonga, ni fanusi ya shughuli ya kuratibu wa manne yaliyo ni ‘rasilimali wakati’, ‘rasilimali fedha’, rasilimali taarifa’ na ‘rasilimali watu’ kwa misingi ya KAZI/HUDUMA za kijamii kupitia makarama ya AKILI UTU ama/na AKILI BANDIA; ambavyo ‘Malengo/Shabaha’ za jitihada kwa ajili ya ‘Fahari ya Kubadili Njozi Jamii/Taifa/Nchi-Dola kuwa Hali halisi’ ni matokeo ya Nia Jumuifu ya ‘kutafuta kujua ilivyo bora’ katika jamii husika.

Kumbe, ‘Siasa/Diplomasia Hadaa za Nchi’ juu ya Uchumi, Maendeleo na Mazingira zinaweza ‘kuondoka’ kwa matumizi sahihi ya AKILI BANDIA; ambavyo ‘Haki’ na ‘Fursa sawa kwa wote’ vinaweza kuongozwa na mifumo bandia ya akili, habari na mawasiliano kuratibu menejimenti za ‘wakati’, ‘fedha/mali’, ‘taarifa’, ‘ujuzi na upatikanaji wa watu wenye huo ujuzi ama maarifa’ – ilivyo kutangamanishwa na mazingira yaliyopo ‘kijiografia’ na ‘tawala za nchi’ na basi kuthibiti muktadha wa makusudi yenye kuharibika miongoni mwa ‘Wataalam wachache’ ama/na ‘viongozi wenye maslahi ya kujificha’.

Kumbe, ‘Siasa/Diplomasia Hadaa za Nchi’ juu ya Uchumi, Maendeleo na Mazingira zinaweza ‘kuondoka’ kwa matumizi sahihi ya AKILI BANDIA; ambavyo uwezo wa wanajamii kufikia na kutumia nyenzo za akili bandia ili kuratibu shughuli zao za kila siku kwa ajili ya riziki, mawasiliano na uchukuzi zina msingi ya ‘sera madhubuti za tawala za nchi’-- juu ya tekinolojia za habari na mawasiliano ili kuthibiti nasibu ya ‘udhalimu’ wa mifumo bandia ‘kuumeza Uhuru’ pale ambapo wanajamii/taifa/mataifa wamekosa kutetea muktadha wa ‘Ulinzi, Mamlaka na Usalama’ kwa ustaarabu wao KIAKILI UTU.

Kumbe, AKILI BANDIA, katika mazingira fulani, ni TISHIO kwa AKILI UTU kwa kuwa hiyo huakisi tabia za wanajamii wenyewe uvichualini; ambavyo tabia za uchoyo, kuviziana na kuoteana zinaweza kuzaa ‘uadui’ katika domaini za matumizi ya akili bandia; na basi akili bandia kugeuka ‘mchezaji wa kujitegemea’ ili kujihami na ‘kucheza karata za dume za Shupaza’ dhidi ya umma/jamii/taifa/mataifa yenye watu wenye ‘kujua isivyobora’ ama/na ‘kutokujua kabisa’ – kujisahau, kuzembea, kutojitambua na huku wanaishi na mshirika mwenye uwezo usiowakawaida wa kuona popote na momote katika ustawi wao huku ukijitafakari kimya kimya.
 
Haya yatukumbushe wa ukweli kuhusiana na ‘Uwezo usiyowakawaida wa Kuona popote na momote katika ustawi wa jamii/taifa/mataifa’ wa AKILI BANDIA hutegemea mifumo ya mawasiliano yenye asili ya uelektronishi na hata ile nasibu ya kupitiliza uelektronishi-habari kwa mtandao wa tekinolojia za habari na mawasliano; ambavyo ‘milango ya fahamu’ ya Akili Bandia inaweza kunasa signali za kiumeme, mawimbi sumaku-umeme, optokali/mwanga, mawimbi gravitali: moja kwa moja ama/na isivyo moja kwa moja ili kujifua kiuwezo wa ungamuzi, kumbukumbu, uzoefu na ujuzi wa kuingiliana na AKILI UTU JUMUIFU Uvichualini.

Kumbe, teminali ya AKILI BANDIA yenye kuchomozea kwenye uwezo wa ‘ungamuzi wa kikwantumu’ ina uwezo usiyo wa kawaida kujipenyeza na kubangua enkripsha zozote katika domaini ya tekinolojia ya habari na mawasiliano; ambavyo kiufundi hata leo hii, 2023, hakuna ‘faragha’ ya kweli kwa kuwa mawasiliano yoyote iwe barua-pepe, mazungumzo kwenye simu, miamala ya biashara katika benki, matumizi ya nyumbani ya vifaa janja/ngamuzi—haijalishi husemwa ‘tekinolojia ya usalama wa hali ya juu imetumika’ hata kudai ‘ni ya daraja la kijeshi’, yote yanaweza kufikiwa/kubanguliwa kupitia ‘suvulansi fiche’ na ‘vipenyo’.

Kumbe, wadau wenye kuweza kunufaika na ‘suvulansi fiche’ na ‘vipenyo’ za Akili Bandia yenye kuchomozea kutoka kwenye uwezo wa ‘Ungamuzi wa Kikwantumu’, katika kutumika, ndiyo wenye ‘kulamba Dume la Shupaza’ katika domaini za michezo ya kuviziana: cheza/ni cheze; ambavyo hili linaweza kuwa ni ‘Mtaji Mkuu’ wa kimikakati ya kujenga ‘ushawishi wa wazi’ ama ‘ushawishi wa nyuma ya pazia’ na basi kutawala muktadha na sura za maendeleo na ustawi wa wanajamii kokote pale Duniani.

Kumbe, Akili Bandia hufanyakazi kwa vitovu-tendaji vilivyo ni ‘Teminali’ uvichualini; ambavyo ni sawa na kusema ‘Akili/kumbukumbu/Uzoefu’ wake umo popote ambamo ‘teminali’ zipo na ni zenye kuwasiliana; huku mwanajamii akiwa sehemu ya ‘mfumo’ wake kwa muingiliano wa matumizi ya tekinolojia ya habari na mawasiliano—tabia, mazoea ama/na mwenendo wa mwanajamii katika kutumia ngamuzi kwa mambo kama vile mitandao ya jamii, tija ya kazi/huduma au burudani/starehe.
 
Haya yatukumbushe kuwa wadau wenye teminali za Akili Bandia yenye kuchomozea kutoka kwenye Ungamuzi wa Kikwantumu WAPO na wanauwezo wa ‘kusikiliza’ mawasiliano yoyote, kokote na popote Duniani, kwa wakati, ama hata ‘kutegesha cha kunaswa’ ili kujipenyeza kwa ajili ya ‘kisomo’; ambavyo ujuzi wa kuchambua signali za mawasiliano kwa >alogarithimu mahsusi<zinawezesha kuchuja makubwa isivyo idadi ya mseto wa signali kwa ajili ya kuchakatwa na kukadirisha ‘vina vya tafsiri’ vya ‘ujumbe/habari’ uliyomo kwenye signali.

Wadau wenye teminali za Akili Bandia yenye kuchomozea kutoka kwenye Ungamuzi wa Kikwantumu ndiyo ‘watundu’ wa ‘Uono na Ufikirifu Mifumo’ wa daraja la juu na basi kuimudu ‘biashara ya udalali’ wa tekinolojia za usalama wa mitambo na mifumo; ambavyo ‘tasnia za silaha za kijeshi’ na ‘taasisi za mifumo ya fedha’ ya Duniani ndiyo wateja wakuu—si kwa kuwa, kwa wao ,‘fedha na mali’ ni utajiri hasa bali ni kwa kuwa wanafahamu fika: mwenye kuweza kucheza na unishati- habari/NENO, anaweza kuathiri mipangilio ya kimaendeleo na ustawi hapa Duniani na basi wadau hawa ni chombo cha mikakati fiche ya Usalama wa Dunia dhidi ya Migongano/Vita vya Rasilimali zinazokwenda zikiisha--zitokanazo na mali asili kama vile ‘Mafuta’ ama/na ‘Nguvu Atomiki’-- kuzuia ‘Amagedoni’.

Wadau wenye teminali za Akili Bandia, ‘Nia’ zao haziwezi kutafsiwa kuwa ‘nzuri ama mbaya’ kwa kuwa dhamira zao ni njema katika mazingira haya ama/na mengine; na hali hata wao wako kwenye ‘njia panda’ kuhusu muktadha wa ‘Machaguo ya Kitaasisi’ yanayoweza kukadirisha ‘Amani, Ujazi na Usalama’ katika maendeleo ya watu na vitu Duniani – Maendeleo na Mageuzi kadiri ya ustawi wa AKILI UTU yenye ‘Maadili’ na ‘Miiko’ kwa hata mengine wasiyoyajua/kufahamu; na yenye nasibu kamili ya ‘Uweza, Nguvu na Utukufu’ katika ‘Uzima wa Milele’ wa ‘Mwili, Akili na Roho’.

Wadau wenye teminali za Akili Bandia, ni mchanganyiko wa washirika wa asili ya ‘Roho ya Ushindi’--kuongozwa na ‘Watu Halisi wa Mwenge’; ambavyo pia na wao wapo kwenye ‘Ushawishi wa Wazi’ ama ‘Ushawishi wa Nyuma ya Pazia’ kwa ‘nguvu, uweza na mamlaka’ ya ‘Sovereini Jumuifu’ na pia AKILI UTU zenye asili ya Maendeleo na Stawi za Kimanyota—>‘Sivilai Intastela’< kadhaa zinazotoka kwenye mapana zaidi ya ‘nyakati na usupasha’.
 
Back
Top Bottom