AI inazidi kuwa bora. Hizi ni baadhi ya nyimbo za kiswahili zilizotengenezwa kwa AI

def_xcode

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
2,551
Reaction score
6,837
Remix ya wimbo wa Goodlucky Gosbert Nipe:

Hii lyrics pia ziliandikwa na chatgpt

Tupia nyimbo zako ulizounda kwa AI
Hii ni IDM but ya kiingereza lyrics zimeandikwa na chat gpt
 
Umefanyaje
Natumia Model inaitwa YuE unairun kweye pc yako locally, lyrics unaweza kuandika pia. Ukiondoa huo wimbo wa kwanza ambao ni remiix ya wimbo wa goodlucky gosbert nilichukua tu lyrics mistari mingine nilifuta, nikaipatia model na kuieleza nataka wimbo uweje. yani unauelezea wimbo unataka uanze vipi, uwe na vifaa gani, chorus iweje labda iwepo sauti inaitikia, yani unafafanua kila kitu, hata sauti ya mwimbaji kama awe mwanamke au mwanaume.
Na hizo nyingine ni same ila lyrics niliipa topic chat gpt na idadi ya mistari ni kagenerate lyrics.
 
Mfano nika upload notation za wimbo, nikaipa maelekezo inaweza kufanya?
 
Natumia Model inaitwa YuE unairun kweye pc yako locally, lyrics unaweza kuandika pia. Ukiondoa huo wimbo wa kwanza ambao ni remiix ya wimbo wa goodlucky gosbert nilichukua tu lyrics mistari mingine nilifuta, nikaipatia model na kuieleza nataka wimbo uweje. yani unauelezea wimbo unataka uanze vipi, uwe na vifaa gani, chorus iweje labda iwepo sauti inaitikia, yani unafafanua kila kitu, hata sauti ya mwimbaji kama awe mwanamke au mwanaume.
Na hizo nyingine ni same ila lyrics niliipa topic chat gpt na idadi ya mistari ni kagenerate lyrics.
Kwenye simu haikubali?
 
Back
Top Bottom