Aiba mtoto wa bosi wake, adaiwa kumlawiti kwa miezi mitano

Aisee kuna watu wana roho mbaya sana
 
Huo mchezo upo sana .

Kipindi fulani kuna jamaa anatokea huko Kilimanjaro alikuja na ndugu yake ila sio wa damu ,na ishi ilikuwa aje kuuza duka maana jamaa alikuwa na biashara kibao na nyingi ni chafu na alikuwa akifanya mpaka kenya haswa mirungi.

Alifungua kiduka cha mgosi kidogo akamuweka msela kwa makubaliano ya miaka 5 anamuachia duka kama wanavyofanya wagosi maana jamaa wote ni wapare ...yule jamaa alikuwa mcheshi sana ilisababisha lile duka kujaa sana na tulikuwa tunaweka maskani hapo mpaka sita usiku na jmaa 11 asubuhi tukienda msikitini anafungua maana palikuwa na wateja pale kitaa haswa wauza samaki na waoenda sokoni pamoja na mnadani.


Yule bosa wake miaka 3 alifanikiwa kujenga duka jipya ila ilipofika mitano akazingua kumuachia duka msela ila sababu ilikuwa mke wa jamaa ni wale wenye tamaa ya pesa hataki msela kupewa duka ,baadae jamaa alipewa kesi ya kutembea na dogo fulani pale kitaa ila ndugu zake walikuwa wanakaa town wakamtoa na walikuja kugundua kesi ni batili ni yule mke wa boss wa msela ndo kazusha.

Jamaa akaona wananiletea ufala sijui kuna pesa pale duka haswa za miamala akasepa nazo na kurudi kwao ,akahamia Arusha na kufungua biashara zake ..Msela boss hakumaindi na alicheka hiyo siku kwa vile alikuwa yupo tayari sema mkewe ndio alikuwa hataki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…