scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,719
Binadamu hawana huruma,ila jasho la ntu halipotei bure,kizazi mpaka kizaziNakuelewa Sana mkuu.
Kuna mdogo wangu alienda Moshi kufanya kibarua Cha kuchunga ng'ombe wa kisasa. Boss wake alimdanganya kuwa amtunzie mshahara wake ili mwisho wa siku afanyie kitu Cha maana. Baada ya miaka sita ya kutunziwa mshahara, dogo akadai chake ili akaanze maisha mapya. Ghafla boss akamuitia polisi kwa tuhuma za kuiba milioni tano dukani, akaenda kufinywa kituoni na kuambiwa achague moja kati ya kwenda jela na kurudi kwao, dogo akarudi kwao. 6 years of sweating with no coins! Haya Mambo yasikie tu
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app