Aiba mtoto wa bosi wake, adaiwa kumlawiti kwa miezi mitano

Aiba mtoto wa bosi wake, adaiwa kumlawiti kwa miezi mitano

Dogo la miaka 14 linapakuliwa na kunyamaza ni lisenge promax.

Mharifu asakwe na kukatws pumpu moja
kWanza mimi siwez kumuita hata mtoto,kijana wa miaka 14 mbona ni mtu mzima kabisa na anaweza kulisha familia

Huyo dogo nae alitaka,kama ni mwanangu ningemfukuza nyumban kabisa

Eti anatishiwa kama watoto wa chekechea eti "nitakuua" nae akanyamaza
 
Kwa hiyo hapo unamlaumu mtoto na sio huyo baradhuli zee zima la miaka 37 kumuingilia mtoto wa miaka 14!!!

Ushenzi hauwezi kuisha kwa mawazo haya
Hata mimi namlaumu huyo dogo,kwanza mimi siwez kumuita mtoto ,kijana mwenye miaka 14

Angekuwa mwanangu ningemtimua nyumban kabisa

Yaan ana miaka 14 anatishiwa kama watoto wa chekechea,eti atauwawa nae akaogopa

Wakati huku kwetu vijana wenye miaka 14 wanawatia mimba wake za watu
 
Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Lebahati (35-37) anatuhumiwa kumtorosha mtoto wa kiume wa bosi wake na kwenda kuishi naye kinyumba kwa miezi mitano mfululizo huku akimlawiti.

Kijana huyo aliyekuwa anafanya kazi ya kuchunga mifugo kwa bosi wake Simioni Abel huko wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro, alitoroka na mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 14 aliyekuwa akisoma Shule ya Msingi Miwaleni na kuja kuishi nae mkoani Arusha.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wazazi wa mtoto huyo, walisema kuwa kijana huyo alitoroka tangu mwezi wa pili ambapo aliiba mbuzi 35 na kwenda kuuza kabla ya kuja kuondoka na kijana wao.

"Siku ya tukio mwishoni mwa mwezi wa pili Lebahati aliondoka nyumbani asubuhi kama kawaida kwenda kuchunga ng'ombe na mbuzi na sisi kuendelea na harakati zetu lakini kurudi jioni tukakuta mbuzi 35 hakuna na kijana wetu hayupo na kwenye simu hapatikani," alisema baba wa mtoto huyo Simioni Abel.

Alisema kuwa katika kumtafuta kila mahala baadae mtuhumiwa alipatikana na katika mawasiliano alikana kuondoka na mtoto huku akidai aliondoka na kuacha mifugo shambani.

"Tulimtafuta mtoto hadi tulikata tamaa kabisa lakini wiki iliyopita alipiga simu na kudai alikuwa na mtoto na kunitaka nikampokee eneo la Kawawa mjini Moshi kuwa amempakiza basi, nilifanya hivyo na kwenda kumchukua bila kujua kuwa alikuwa na matatizo yoyote kwani yeye mwenyewe hakusema chochote zaidi ya kulala hovyo akisema anajisikia vibaya," amesema.

Alisema kuwa baada ya wiki moja walipigiwa sim kutoka kwa mtendaji wa Kata ya Kisongo mkoani Arusha kuwa mtoto wao anahitajika kwa uchunguzi na matibabu zaidi kutokana na alilawitiwa.

"Jambo hilo nilishtuka nikaamua kumshirikisha mdogo wangu tuliyekuwa tunapambana nae katika jambo hilo ndio tukafunga safari kuja Arusha baada ya taarifa hizo na tulipofika hadi hospital ikabainika kweli mtoto aliingiliwa kinyume na maumbile," amesema baba wa mtoto huku akiangua kilio.

Akizungumzia tukio hilo, mtoto huyo anasema kuwa kijana huyo alianza kumfanyia vitendo hivyo mjini Moshi siku za mwisho wa wiki walipokuwa wanaenda kuchunga mifugo, kabla ya siku ya tukio walipoiba mifugo na kwenda kuuza mnadani na kutoroka naye kuja Arusha.

"Alianza kunifanyia huko Moshi porini tukienda kuchunga na kunipa hela huku akinitishia nikisema ataniua. Hata siku ya kutoroka alipeleka mbuzi mnadani na kunitaka nimsindikize akisema anakuja kwao Arusha kusalimia lakini baada ya kufika hakuniruhusu kutoka na badala yake akawa ananifanyia vitendo hivyo kila siku kwa kuniziba mdomo na akitoka ananifungia ndani," amesema.

Akizungumzia tukio hilo, Mtendaji wa Kata ya Kisongo, John Nkini alisema kuwa walipata taarifa za kijana huyo kuishi na mtoto wa kiume kinyumba na walimkamata kwa mahojiano na kukana kuhusika hivyo waliamuachia na ndipo alipotoroka.

"Tulipata fununu za taarifa hizi na tulimkamata mtuhumiwa na kumuhoji lakini alikanusha hivyo tulimuachia ili kufanya kwanza mawasiliano ya upande wa pili ambao ni wazazi wa mtoto kuthibitisha tukio hilo na baadaye walipokuja na kuthibitika mtoto aliingiliwa kijana huyo alikimbilia kusikojulikana hadi sasa," amesema Nkini.

Akizungumzia tukio hilo kwa njia ya simu, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justin Masejo amesema kuwa tukio hilo wanalishughulikia.

"Asante kwa taarifa naomba kushughulikia," amejibu.

Baba mdogo wa mtoto huyo, Ramadhani Laswai amesema kuwa baada ya vipimo mtoto wao amebainika kuathirika sehemu za haja kubwa kutokana na kuingiliwa.

"Mtoto amekutwa ameharibika, hasa mishipa ya sehemu za haja kubwa hazina nguvu kabisa yaani zimelegea," amesema.

Alitumia nafasi hiyo kuiomba serikali kuingilia kati swala hilo kumsaka mtuhumiwa ili hatua Kali za kisheria ziweze kuchukua mkondo wake.

"Tunaomba Serikali na waziri mwenye dhamana kuingilia kati swala hili kwani juhudi za kumsaka mtuhumiwa ni ndogo sana, wiki nzima hakuna mafanikio na wahusika hawasemi chochote na ukizingatia walimkamata awali na kumwachia bila sababu ya msingi, kiukweli tumeumia mtoto wetu kufanyiwa kitendo hiki," amesema.

MWANANCHI
Moshi Arusha hizi tabia zimeshamiri kila nyumba 100 nyumba 30 ndizo ziko salama 70 kuna vijana wanao rawitiwa hasa boda boda hii ndio faidi ya utalii na bado mashi Arusha siku za usoni kila nyumba atakuwemo shoga
 
Kwa kawaida mtu hawezi kuuza mbuzi 35 mnadani kwa mkupuo mmoja Tena bila risiti za malipo ya ushuru.

Huu Mchezo wa kusingiziana kesi za ulawiti umekithiri. Kuna Ndugu yangu alikuwa anapenda kucheza na Mtoto wa mpangaji mwenzake. Siku ya siku akaja kukamatwa na polisi kwa tuhuma za ulawiti wa huyo Mtoto na akababanishwa hadi akalipa 2.5m ili asifungwe. Lakini hadi leo anadai kuwa hajui chechote kuhusu tukio lile. Angewadanganya wote lakini Asingeweza kunificha mimi
Dakitali alithibitisha?
 
Ina maana huyo kijana wa miaka 14 alipoanza kufanyiwa kitendo hicho toka akiwa machungani wazazi hawakuwahi kugundua kweli!
 
So sad! Inakuwaje lakini jamani mtu unamuajiri mtunza mifugo wakati hujui background yake wala atokako, miezi 5 yote walishindwa kufika kwao kupata ukweli inamaana walikuwa hata hawafahamu mtuhumiwa anatokea wapi. Tuchunguze kwa kina asili ya wale tunaowapa dhamana katika familia zetu
Tatizo kutaka bule mtu anaona kuchunguza kutamfanya atumie gharama kubwa pia kuna baadhi ya familia ukichukua mtoto wao wanakusainisha mkataba na mshahara unawekwa wazi,watu wanataka mtu wakutimikisha kwa malipo ya sh 50,000 kwa mwezi
 
Kwa kawaida mtu hawezi kuuza mbuzi 35 mnadani kwa mkupuo mmoja Tena bila risiti za malipo ya ushuru.

Huu Mchezo wa kusingiziana kesi za ulawiti umekithiri. Kuna Ndugu yangu alikuwa anapenda kucheza na Mtoto wa mpangaji mwenzake. Siku ya siku akaja kukamatwa na polisi kwa tuhuma za ulawiti wa huyo Mtoto na akababanishwa hadi akalipa 2.5m ili asifungwe. Lakini hadi leo anadai kuwa hajui chechote kuhusu tukio lile. Angewadanganya wote lakini Asingeweza kunificha mimi
Dunia ya leo inakuaje ucheze na Mtoto wa mpangaji mwenzako ?
ana kipato gani cha kuweza kuhonga fedha hiyo kirahisi rahisi wakati ana uhakika hakufanya tukio baya kwa mtoto ?
 
Nakuelewa Sana mkuu.
Kuna mdogo wangu alienda Moshi kufanya kibarua Cha kuchunga ng'ombe wa kisasa. Boss wake alimdanganya kuwa amtunzie mshahara wake ili mwisho wa siku afanyie kitu Cha maana. Baada ya miaka sita ya kutunziwa mshahara, dogo akadai chake ili akaanze maisha mapya. Ghafla boss akamuitia polisi kwa tuhuma za kuiba milioni tano dukani, akaenda kufinywa kituoni na kuambiwa achague moja kati ya kwenda jela na kurudi kwao, dogo akarudi kwao. 6 years of sweating with no coins! Haya Mambo yasikie tu
Kweli kabisa kuna watu bado wanawatumisha watu kuliko waarabu na wazungu
 
Kwa hiyo hapo unamlaumu mtoto na sio huyo baradhuli zee zima la miaka 37 kumuingilia mtoto wa miaka 14!!!

Ushenzi hauwezi kuisha kwa mawazo haya
Tatizo malezi mtoto miaka 14 mpaka anafikia kufanyiwa hivyo alafu anakaa kimia?
 
Nakuelewa Sana mkuu.
Kuna mdogo wangu alienda Moshi kufanya kibarua Cha kuchunga ng'ombe wa kisasa. Boss wake alimdanganya kuwa amtunzie mshahara wake ili mwisho wa siku afanyie kitu Cha maana. Baada ya miaka sita ya kutunziwa mshahara, dogo akadai chake ili akaanze maisha mapya. Ghafla boss akamuitia polisi kwa tuhuma za kuiba milioni tano dukani, akaenda kufinywa kituoni na kuambiwa achague moja kati ya kwenda jela na kurudi kwao, dogo akarudi kwao. 6 years of sweating with no coins! Haya Mambo yasikie tu
Qmmmk labda mm sio mmeru huyo bos angeona nyota zote za ulimwengu
 
Ha ha ha acha mikwara mji huu unawajuaji wengi
kataaa unyonge
sio mikwara mm kuua mtu kwa sabab amenidhulum wala sifikirii labda iwe kitu kidogo sana au kachimba nisimuone mazima wqlq nisijue namna yq kumpata
USIKUBAL kudhulumiwa hata mungu anachukia
 
“Angewadanganya wote lakini Asingeweza kunificha mimi”

Kwa sababu wewe ni Mungu kwake ama niaje?










Kuuza mbuzi 35 kwa mkupuo ni rahisi kwa mtu alieweka mipango na kusuka ramani muda mrefu ukizingatia yeye ndio mchungaji kwahiyo lazima alikua anajuana na wachungaji wengine na wauzaji pia.

Huyo aliekua anafungiwa ndani alikua anazibwa na mdomo na kufungwa mikono na miguu?

Maana sioni sababu kwanini hakujiokoa kwa kupiga kelele kuita majirani ama kujaribu kuvunja mlango ama dirisha? Tena kijana wa miaka 14, ni mtoto yes lakini mwenye utambuzi wa mazingira na means of survival lazima anazijua tayari.


Miezi mitano unalawitiwa kirahisi tu?!

Na hao wazazi kijana anapotea miezi 5 taarifa zilifika polisi? Juhudi zao za kumtafuta mtoto wao kwa miezi yote mitano ni zipi?

Upishi unaweza kuwepo hapa.
Mkuu chief mingungo wa mvomero inakuwaje? 👌🏿🙌🏿👆🏿😆
 
Kama ni kweli nimesikitika sana. Ila hao wazazi nahisi hawana akili kabisa. Waliishirikisha polisi baada ya mtoto na mbuzi kutoweka? Walitoa tangazo kwenye vyombo vya habari kuhusu mtoto wao? Kama mtuhumiwa alipatikana kwenye mawasiliano kwanini hawakumkamata wakati walikuwa na kesi nae nyingine ya wizi? Wazazi wapumbavu ni mzigo kwa taifa.
 
Story inakona kona nyingi sanaa......

"Alikamatwa akaachiwa afu akatoroka..

"Kuiba mbuzi 35 na kuuza kwa mkupuo,na kutoroka sku hyhyo...

"Tangu mwezi wa pili mtoto haonekani nyumbani,bila taarifa kwenye vyombo vya habari wala polisi...

"Ata kamanda wa polisi kaona huu ni ujinga (mchezo)...
 
Back
Top Bottom