Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli hata mm nashangaa Sana sisi enzi zetu Miaka 14 unaachiwa nyumba kabsa na unajitambua, Sasa uyo anainamishwa na anakaaa kmyaHata mimi namlaumu huyo dogo,kwanza mimi siwez kumuita mtoto ,kijana mwenye miaka 14
Angekuwa mwanangu ningemtimua nyumban kabisa
Yaan ana miaka 14 anatishiwa kama watoto wa chekechea,eti atauwawa nae akaogopa
Wakati huku kwetu vijana wenye miaka 14 wanawatia mimba wake za watu
Hiv wale ni mashoga au ni masharobaro tu na mabishoo?....Nenda Kinondoni fala wewe kuanzia studio, kupanda, mpaka kwa Mchina saa 1 asubuhi kama hutakosa wanaume mchana kweupe mashoga!
Nimetembea sana, sijawahi liona hili jambo linalofanana na Hili kokote huko. Dar ea salaam ndo mkoa usiokuwa na maadili kuliko wowote.
Chezea utalii mzungu sio mtu mwema,kila pahala penye watalii wengi ushoga unakua kwa kasi mfano Zanzibar
Hiv wale ni mashoga au ni masharobaro tu na mabishoo....
Msikuze mambo kiasi hicho bwana...nimeishi studio sio tofauti ya studio na sehemu nyingine hapa Dar...labda studio kuna mabishoo kibao ambao kwa haraka huwezi tambua kama ni choko au la...unless una interest hizo
Na unakuta wakati huo ni kipindi cha kilimo,mfano mwez wa 12 mpo likizoKwakweli hata mm nashangaa Sana sisi enzi zetu Miaka 14 unaachiwa nyumba kabsa na unajitambua, Sasa uyo anainamishwa na anakaaa kmya
I will need to prove this....mimi nachojua kinondoni studio mida ya jioni kuna pisi na malaya wa kila aina....Mashoga yale Kaka, jaribu kunywa kahawa usikie wanavyoongea. Ninakuwaga na harakati zangu maeneo hayo, yale mashoga Kaka.
I will need to prove this....mimi nachojua kinondoni studio mida ya jioni kuna pisi na malaya wa kila aina....
Malezi ya sasa yamedumaza sana akili za watotoKwakweli hata mm nashangaa Sana sisi enzi zetu Miaka 14 unaachiwa nyumba kabsa na unajitambua, Sasa uyo anainamishwa na anakaaa kmya
Yalaumiwe ma school bus na vikatuni🤣🤣,mana enzi zetu kutembea kwa mguu kulitufanya wakakamavu na pili hakuna kukaa kaa ovyo sebleni kuangalia vikatuni siku hizi sasa,Na unakuta wakati huo ni kipindi cha kilimo,mfano mwez wa 12 mpo likizo
Unawaongoza wadogo zako kwenda shamba,maswala yote ya kula unayasimamia kukiwa hakuna mboga mnachuma mchicha nyuma ya nyumba na bado kunakuwa kuna mifugo unakuwa umeachiwa
Mpaka wazaz wanarudi wanakuta mambo yako vizur tu
Saivi sijui aisee malezi ya Sasa yakoje mm dogo langu Yupo form 5 saivi hata kupanda daladala mwenyew Ni shida wakat mm nipo darasa LA 4-5 daladala kama kawaidaMalezi ya sasa yamedumaza sana akili za watoto
Mie nina mjukuu wangu wa miaka 14 amemaliza Primary hawezi kuja kunisalimia kutoka Madale kuja Kawe, ama amsubirie Mama yake weeknd amlete au Dada wa kazi amlete, huwa nawasema sana Wazazi wale nawaambia age kama hizo wao nilikuwa nawapa majukumu hata ya kwenda ofisin kwangu kuchukua sicksheet nikiumwa na wanairudisha ofisin baada ya matibabu wakiwa darasa la tano, sita na saba
Umeona eeh,kuna kitu huyo dogo pia hakipo sawa kwake,kwanza walianza akiwa pale nyumbani huo mchezo na alitishiwa asieme atauwawa naye akaogopa kweli,pili siku walipoondoka mpk wanafika kuuza Mbuzi ina maana kulikuwa hakuna watu ambao angewaeleza kuwa huyu jamaa ameniteka ili wamsaidie...!kWanza mimi siwez kumuita hata mtoto,kijana wa miaka 14 mbona ni mtu mzima kabisa na anaweza kulisha familia
Huyo dogo nae alitaka,kama ni mwanangu ningemfukuza nyumban kabisa
Eti anatishiwa kama watoto wa chekechea eti "nitakuua" nae akanyamaza
Sahvi yenyewe watoto wadogo ndiyo hawaSaivi sijui aisee malezi ya Sasa yakoje mm dogo langu Yupo form 5 saivi hata kupanda daladala mwenyew Ni shida wakat mm nipo darasa LA 4-5 daladala kama kawaida
Badala auawe kwa moto?Huyo mhuni asakwe, akikamatwa ashtakiwe na afungwe maisha jela
Kumuua bila kumshtaki na kumkuta na hatia sio sawa.Badala auawe kwa moto?
Huyo dawa ni ananyeshwa petrol afu kiberiti, kwanini asingiziwe yeye kati ya watu wote?Kumuua bila kumshtaki na kumkuta na hatia sio sawa.
Kusingiziwa kupo sana tu, hivyo ni vyema ashtakiwe kwanza ili na yeye ajitetee kabla ya hukumu.Huyo dawa ni ananyeshwa petrol afu kiberiti, kwanini asingiziwe yeye kati ya watu wote?
Huwezi singiwa lazima ni tabia yakoKusingiziwa kupo sana tu, hivyo ni vyema ashtakiwe kwanza ili na yeye ajitetee kabla ya hukumu.
Huyo mhuni asakwe, akikamatwa ashtakiwe na afungwe maisha jela