NewGapi
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 313
- 960
Kwa tunaofuatilia matangazo ya mazishi ya kitaifa ya Hayati JPM kutoka uwanja wa Jamhuri dodoma, watakubaliana namimi kuwa aliyeandaliwa kutoa tafsiri hana huo uwezo.
- Anaachwa mara kadhaa nyuma,
- Anatoa tafuasiri zisizo sahihi.
- Anaongea uelewa wake badala ya kutafuasiri.