Aibu: Anayetafsiri Uwanja wa Jamhuri kamati hakujiandaa

Aibu: Anayetafsiri Uwanja wa Jamhuri kamati hakujiandaa

Kwa tunaofuatilia matangazo ya mazishi ya kitaifa ya Hayati JPM kutoka uwanja wa Jamhuri dodoma, watakubaliana namimi kuwa aliyeandaliwa kutoa tafuasiri hana huo uwezo...
Mkuu yule Rais aliesema Magufuli alikua collegue wake alimaanisha madaftari waliyabeba pamoja kwenye safari yao ya elimu au manake mfasiri hakusema
 
Wafalme wa kulaumu....kulaumu Kila kitu..mkalimani anajitahidi hongera kwake...ni wazi hakupewa hotuba hizi...mkalimani Yuko makini kwa kuzingatia Hali halisi ...wewe na wenzio ni wafalme wa kulaumu Kila kitu...
Ndo walivyo kwani akipewa yeye ataweza? Kwani kashindwa kutafisiri neno gani ambalo linawagongesha vichwa?
 
Kwa tunaofuatilia matangazo ya mazishi ya kitaifa ya Hayati JPM kutoka uwanja wa Jamhuri dodoma, watakubaliana namimi kuwa aliyeandaliwa kutoa tafuasiri hana huo uwezo...
Anamakosa kiasi angesoma tafsiri na ukalimani angeweza SANA. COURSE INAPATIKA NA PALE UDOM. ANATAKIWA AWE NA SPEED NA ASISUBIRI MZUNGUMZAJI KUMTAZAMA YEYE
 
Kwa tunaofuatilia matangazo ya mazishi ya kitaifa ya Hayati JPM kutoka uwanja wa Jamhuri dodoma, watakubaliana namimi kuwa aliyeandaliwa kutoa tafuasiri hana huo uwezo...
Katafsiri wewe sasa
 
Kwa tunaofuatilia matangazo ya mazishi ya kitaifa ya Hayati JPM kutoka uwanja wa Jamhuri dodoma, watakubaliana namimi kuwa aliyeandaliwa kutoa tafuasiri hana huo uwezo...
Kiingereza siyo lugha yetu ni lugha ya mabeberu. Hebu waongee kwa kiswahili uone kama atashindwa kutafsiri kwenye kiswahili.
 
Yeye ni nafuu mara 100 zaidi yako! Tafuasiri ni neno la kiswahili? Mwenzio walau anajaribu Kiingereza, wewe hata Kiswahili ni tabu. 'Anayetafuasiri'.
Hapana mkuu katuaibisha sana hata Mimi nikasema mhhhh mbona kama, anatuingiza chaka nikasema labda uelewa, wangu wa shule za kata ndio, mbovu kumbe mmeona? Hana unafuu maana hiyo ni kazi yake 100%
 
Back
Top Bottom