Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukalimani ni profession. Kwa nini hawatumiki watu waliyosomea hiyo kazi badala ya kumpa mtu yeyote tu anayeonekana anaweza. Naamini kuna watu waliyosomea hiyo kazi na wapo Tanzania.... Kama hao wa leo wamesoma hiyo kazi, basi siju walifaulu vipi.Mtaalamu ni wewe...sawa?
Haya ni mazao ya vyuo vinavyopatikana ghorofa ya kwanza.Hii si ni zao ya English course ya pale Royal Goldland college au brothers academy ukonga au Rasi simba. Unafundishwa kingereza cha kuongea miezi mitatu.
Amejifelisha mwenyewe. Sisi hatuhusikiKaliferisha taifa
[emoji28][emoji28][emoji28]Amejifelisha mwenyewe. Sisi hatuhusiki
Tumsamehe kwakuwa si lugha yake mama hiyo ipo tu saaana tu hasa kwa beberu na wala hajali akikosea
Hayati alisisitiza tutumie kiswahili ili kikuwe kiwekinatumika kimataifa,Kwa tunaofuatilia matangazo ya mazishi ya kitaifa ya Hayati JPM kutoka uwanja wa Jamhuri dodoma, watakubaliana namimi kuwa aliyeandaliwa kutoa tafsiri hana huo uwezo.
Kamati isijirudie tena kwenye matukio ya kitaifa kama hilo.
- Anaachwa mara kadhaa nyuma,
- Anatoa tafuasiri zisizo sahihi.
- Anaongea uelewa wake badala ya kutafuasiri.
Yeye ni nafuu mara 100 zaidi yako! Tafuasiri ni neno la kiswahili? Mwenzio walau anajaribu Kiingereza, wewe hata Kiswahili ni tabu. 'Anayetafuasiri'.
Ni kweli! Japo English yangu ni ya kawaida sana,Ila huyo mtafsiri siyo. Na hapo ndipo sasa tuone kama kweli elimu yetu inahitaji kuwa kwa Kiswahili au tunatakiwa kuboresha English Ili Kila mtu amalize elimu akiwa na ujuzi nayoKwa tunaofuatilia matangazo ya mazishi ya kitaifa ya Hayati JPM kutoka uwanja wa Jamhuri dodoma, watakubaliana namimi kuwa aliyeandaliwa kutoa tafsiri hana huo uwezo.
Kamati isijirudie tena kwenye matukio ya kitaifa kama hilo.
- Anaachwa mara kadhaa nyuma,
- Anatoa tafuasiri zisizo sahihi.
- Anaongea uelewa wake badala ya kutafuasiri.
Sure mkuu. Yani mtu afanye blunder peke yake then tubebeshwe Taifa zima?[emoji28][emoji28][emoji28]
Mataifa si yameshuhudiaSure mkuu. Yani mtu afanye blunder peke yake then tubebeshwe Taifa zima?
Itabidi hizi lawama na aibu ziende kwa mataga na LumumbaSure mkuu. Yani mtu afanye blunder peke yake then tubebeshwe Taifa zima?
Kikubwa sisi tunaelewana maana aliyekufa ni Rais wetu sisi wa Tz.... Kwaiyo tunaelewa nini kinaendelea!!!!
Wewe unafikiri hizo lugha ni mchezo! kumbuka hapo mtu ana majonzi ya msiba sisi tumuelewe uyo Rais wa south ili kiwe nini?
Tumpuzishe mpedwa wetu tuache na kejeli wakuu, we unaejua icho kingereza hata hapo Uingereza ukute hujaenda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwenye mazishi ya Mandela, alikuwapo huyu jamaa aliyezingua kinoma kutafsiri lugha ya viziwi. Baadaye alipohojiwa alijitetea kuwa katikati ya event alipatwa na ugonjwa wa schizophrenia, ambapo alikuwa anaona malaika wanakuja kutoka angani
View attachment 1731678