Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Mkuu yule Rais aliesema Magufuli alikua collegue wake alimaanisha madaftari waliyabeba pamoja kwenye safari yao ya elimu au manake mfasiri hakusemaKwa tunaofuatilia matangazo ya mazishi ya kitaifa ya Hayati JPM kutoka uwanja wa Jamhuri dodoma, watakubaliana namimi kuwa aliyeandaliwa kutoa tafuasiri hana huo uwezo...
Hahahaha waafrica jau sanaKwenye mazishi ya Mandela, alikuwapo huyu jamaa aliyezingua kinoma kutafsiri lugha ya viziwi. Baadaye alipohojiwa alijitetea kuwa katikati ya event alipatwa na ugonjwa wa schizophrenia, ambapo alikuwa anaona malaika wanakuja kutoka angani
View attachment 1731678
Ndo walivyo kwani akipewa yeye ataweza? Kwani kashindwa kutafisiri neno gani ambalo linawagongesha vichwa?Wafalme wa kulaumu....kulaumu Kila kitu..mkalimani anajitahidi hongera kwake...ni wazi hakupewa hotuba hizi...mkalimani Yuko makini kwa kuzingatia Hali halisi ...wewe na wenzio ni wafalme wa kulaumu Kila kitu...
First HusbandKashindwa kutafsiri hata first Gentleman loh
Kuna maneno mengine kuyatafsiri kwa Kiswahili ni mtihani, kama hilo la first gentleman utaitaje? Mume wa Rais?[emoji1787]Kashindwa kutafsiri hata first Gentleman loh
Kuna maneno mengine kuyatafsiri kwa Kiswahili ni mtihani, kama hilo la first gentleman utaitaje? Mume wa Rais?[emoji1787]
So ku skip details chache sio mbaya as long as haziharibu maana ya jumla
Kama hajui hajui tu. No excuse!Wewe mwenyewe umeshindwa kuandika Na uko peke yako huna presha halafu unamcheka mwenzako ambae anatafsiri mbele ya umati Wa watu kama ule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anamakosa kiasi angesoma tafsiri na ukalimani angeweza SANA. COURSE INAPATIKA NA PALE UDOM. ANATAKIWA AWE NA SPEED NA ASISUBIRI MZUNGUMZAJI KUMTAZAMA YEYEKwa tunaofuatilia matangazo ya mazishi ya kitaifa ya Hayati JPM kutoka uwanja wa Jamhuri dodoma, watakubaliana namimi kuwa aliyeandaliwa kutoa tafuasiri hana huo uwezo...
Dah!!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Katafsiri wewe sasaKwa tunaofuatilia matangazo ya mazishi ya kitaifa ya Hayati JPM kutoka uwanja wa Jamhuri dodoma, watakubaliana namimi kuwa aliyeandaliwa kutoa tafuasiri hana huo uwezo...
Nimekuta hii kwenye kamusi nimecheka sana;muungwana wa kwanza 🤣 🤣Kashindwa kutafsiri hata first Gentleman loh
Kiingereza siyo lugha yetu ni lugha ya mabeberu. Hebu waongee kwa kiswahili uone kama atashindwa kutafsiri kwenye kiswahili.Kwa tunaofuatilia matangazo ya mazishi ya kitaifa ya Hayati JPM kutoka uwanja wa Jamhuri dodoma, watakubaliana namimi kuwa aliyeandaliwa kutoa tafuasiri hana huo uwezo...
Hapana mkuu katuaibisha sana hata Mimi nikasema mhhhh mbona kama, anatuingiza chaka nikasema labda uelewa, wangu wa shule za kata ndio, mbovu kumbe mmeona? Hana unafuu maana hiyo ni kazi yake 100%Yeye ni nafuu mara 100 zaidi yako! Tafuasiri ni neno la kiswahili? Mwenzio walau anajaribu Kiingereza, wewe hata Kiswahili ni tabu. 'Anayetafuasiri'.
vyoyote ila maana isipoteeIla nyie kwa kulaumu hamjambo..
Mnataka watafsir Word to word au watafsir Context
malizia watanzania wanyongeKikubwa sisi tunaelewana maana aliyekufa ni raisi wetu sisi wa Tz....