Aibu: Anayetafsiri Uwanja wa Jamhuri kamati hakujiandaa

Wafalme wa kulaumu....kulaumu Kila kitu..mkalimani anajitahidi hongera kwake...ni wazi hakupewa hotuba hizi...mkalimani Yuko makini kwa kuzingatia Hali halisi ...wewe na wenzio ni wafalme wa kulaumu Kila kitu...
Sema kuwa Inawezekana Siyo mtaalamu wa hiyo kazi.
 
Kwa tunaofuatilia matangazo ya mazishi ya kitaifa ya Hayati JPM kutoka uwanja wa Jamhuri dodoma, watakubaliana namimi kuwa aliyeandaliwa kutoa tafuasiri hana huo uwezo...
Wewe ni kilaza siyo TAFUARIRI bali ni TAFSIRI
 
Lugha siyo mathematics, it doesn't obey any rules.... Labda wewe ndiyo hujui maana ya kutafsiri.
 
Kwa tunaofuatilia matangazo ya mazishi ya kitaifa ya Hayati JPM kutoka uwanja wa Jamhuri dodoma, watakubaliana namimi kuwa aliyeandaliwa kutoa tafuasiri hana huo uwezo....
Kumbe kuna wengine mliona eeee !!
 
mazishi ya kitaifa ndo nini?×
Shughuli ya Kitaifa ya kumuaga Hayati John Magufuli
 
Ila nyie kwa kulaumu hamjambo..
Mnataka watafsir Word to word au watafsir Context
Your browser is not able to display this video.

Kudadadeki, hapo vipi kwenye mambo ya context ?!
 
Ni type ya akina Kabudi hii
 
Tumsamehe kwakuwa si lugha yake mama hiyo ipo tu saaana tu hasa kwa beberu na wala hajali akikosea
 
Kwa sisi wa seint kayumba tunamshukuru kwa kutusaidia kuelewa kilichozungumzwa na wagen
 
22 March 2021
Dodoma, Tanzania

Mkalimani ameingia ganzi kumnukuu rais Ramaphosa "Magufuli hakupenda kusafiri kusafiri ...labda alikuwa anaogopa kusafiri kwa ndege lakini kumbe Magufuli alikuwa ameamua..."

President Ramaphosa: When he came to South Africa he brought me a box full of Swahili



Source: ktn news Kenya
 
Lugha siyo mathematics, it doesn't obey any rules.... Labda wewe ndiyo hujui maana ya kutafsiri.
Mkuu ni ujinga kutetea kila kitu. kama huwezi kuwa mkweli ni vyema kupiga kimya tu. Hizo rules zinasema tafsiri inaweza kupotosha kinachozungumzwa?

Umetupia kidogo english bila shaka unaijuajua. Kosa hapa sio kugeuza maneneo bali ni kuleta ujumbe tofauti na uliotolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…