Uchaguzi 2020 Aibu: CCM yafutika Bukoba, wanafunzi wapangwa barabarani muda wa masomo kumpokea

Uchaguzi 2020 Aibu: CCM yafutika Bukoba, wanafunzi wapangwa barabarani muda wa masomo kumpokea

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Hi ni aibu ya mwaka

Chama kimokosa mvuto tukiwaambia mnabisha hiki chama bila wasanii haki ya Mungu hakipati watu.

Mwaka huu patachimbia watu mjiandae kukabidhi Ikulu.

Lissu yupo vijijini anapokelewa na watu kibao ila CCM inakosa watu Bukoba Mjini?

Laana ya Tetemeko itawatafuna mwaka huu.

IMG_20200915_163453.jpg
IMG_20200915_163450.jpg
IMG_20200915_163446.jpg
 
Wanafunzi ni wafaidika wa sera nzuri za CCM kuhusu elimu. 2015-2020 jumla trillioni 1.09 zimetolewa kugharamia elimu bure, CCM hoyeee. Watoto wa wakulima walio darasa la kwanza hadi la tano ni wafaidika wa sera ya CCM ya elimu bure.

Wanafunzi walio form V ni wafaidika, wanafunzi walio form I- IV ni wafaidika wa elimu bure. Kwa nini watoto hawa wasijipange barabarani japo kwa siku moja kuonyesha SALUTE kwa PAYMASTER wa nchi?
 
Nyuma ya hao watoto kuna wazazi wao na walimu wao...ila usisahau hao ndio wapiga kura wa kesho!

Usitegemee sana nguvu ya Amsterdam, wekeza kwenye kizazi cha kesho!
 
Lakini mkuu usiwe biased mbona tumefuatilia kwenye TV,watu wazima wamejitokeza kwa wingi sana? Tena katika vitongojo mbali mbali along side ya barabara?

Nikupe neno mkuu acha kutia chumvi haikusadii wala haimsaidii Lissu. Unajipotosha wewe mwenyewe.
 
Lakini mkuu usiwe biased mbona tumefuatilia kwenye TV,watu wazima wamejitokeza kwa wingi sana ?Tena katika vitongojo mbali mbali along side ya barabara?
Nikupe neno mkuu acha kutia chumvi haikusadii wala haimsaidii Lissu. Unajipotosha wewe mwenyewe.
Makamanda wa CHADEMA wanadanganywa sana na likes za kwenye mitandao, lakini tarehe 28 hawataamini kwa macho yao.
 
Nyuma ya hao watoto kuna wazazi wao na walimu wao...ila usisahau hao ndio wapiga kura wa kesho!
Usitegemee sana nguvu ya Amsterdam, wekeza kwenye kizazi cha kesho!
Rais hapaswi “kutofokea” inatakiwa arudi kwetu kwa upole na heshima atuambie

”ndugu wananchi, mlinipa dhamana ya kuwatumikia, katika KAZI mliyonituma nimefanya kadha wa kadha, kama mmeridhika naombeni mnipe tena ridhaa” sio kama anavyofanya “makasiriko” na “kutufokea”!
 
Lakini mkuu usiwe biased mbona tumefuatilia kwenye TV,watu wazima wamejitokeza kwa wingi sana ?Tena katika vitongojo mbali mbali along side ya barabara?
Nikupe neno mkuu acha kutia chumvi haikusadii wala haimsaidii Lissu. Unajipotosha wewe mwenyewe.
Wengine wapo kupotosha tu.Anafikiri kupotosha Ndio kura zitaingia kwenye box.Moderators mungekuja na uhakiki wa nyuzi.Mkiona huu ni upotoshaji mnaachana nayo.Kwani MTU akishare JF wataonekana waongo
 
Tafadhali wazazi tusikubali upuuzi huu. Yaani CCM inawaanika watoto wetu kwenye jua na kuwakosesha masomo kwa ajili ya kumpokea Magufuli. Halafu shule ni mali ya serikali kwanini zitumike kwenye kampeni.
 
Hao watoto wamepelekwa kwa lazima hapo na walimu wao.

Zaidi ya yote hao hao wakiwa watu wazima wakasimuliwa wazazi wao walivyo henyeshwa na sera za ccm watachukia m1 m1 mpaka wote watakuwa upinzani kama sasa upinzan unavyopaishwa na vijana
Nyuma ya hao watoto kuna wazazi wao na walimu wao...ila usisahau hao ndio wapiga kura wa kesho!
Usitegemee sana nguvu ya Amsterdam, wekeza kwenye kizazi cha kesho!
 
Hi ni aibu ya mwaka

Chama kimokosa mvuto tukiwaambia mnabisha hiki chama bila wasanii haki ya Mungu hakipati watu...
Hata Mwanza, bila wanafunzi na wanavijiji waliosombwa kwa malori, uwanja ulikuwa mtupu. Mwanza wanafunzi waliambiwa wasivae uniform. Naona Bukoba walisahau kuwaambia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana watu wengine huwa wanagoma kuwapeleka watoto shule za kayumba, hapo huwezi kumkuta mtoto wa private school hata mmoja

Halafu mnasema mmeboresha elimu wakati mnawapunja watoto muda wao wa kusoma, hao watoto ni under 18 siasa haiwahusu waacheni
 
Au kuwatumia wasanii na kuwa na umayi ulojongea kuangalia mauno ya wasanii wadhan ndio itadondosha kura kwa jiwe??
Katu ni kujidanganya tu
Wengine wapo kupotosha tu.Anafikiri kupotosha Ndio kura zitaingia kwenye box.Moderators mungekuja na uhakiki wa nyuzi.Mkiona huu ni upotoshaji mnaachana nayo.Kwani MTU akishare JF wataonekana waongo
 
Ndio acha wapangwe tu kwani Kuna kosa gani mtoto kumupokea baba ake akiwasili kutoka mahali Fulani.

Hongera Sana wanafunzi kwa kujitokeza kwa wingi kumulaki baba yenu Magufuli anae hakikisha mnapata mahitaji yenu ya elimu Bora chini ya mpango mathubuti wa elimu bure.

Hongera sana rais Magufuli kwa kupendwa na watu wa rika lote.
 
Back
Top Bottom