Uchaguzi 2020 Aibu: CCM yafutika Bukoba, wanafunzi wapangwa barabarani muda wa masomo kumpokea

Uchaguzi 2020 Aibu: CCM yafutika Bukoba, wanafunzi wapangwa barabarani muda wa masomo kumpokea

Wahaya hawajasahu- Yaani mtu afiwe na kupotewa na mali zake halafu watu wake wamchangie ili angalau apate hata pakukaa halafu anatokea mtu anasema sileti hela tena si zake!
 
Yani chadema ni very pathetic hamjui hao ndio wapiga kura wa kesho yani hamna mipango kabisa ya hata miaka 5 mbele nyinyi mnangalia tu leo ndio mana 2015 mkamchukua Lowassa kwa kukurupuka hii 2020 napo kidogo mruke na nyalandu mko very unplanned...
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote kwamba hao ni wapigakura wa kesho. Lakini tujiulize, wamekuja wenyewe au wametakiwa wafunge washughuli zote waende kumuona Rais wa nchi?

Hao watoto wanajua kuwa Rais wa nchi amekuja kuomba ridhaa ya kuongoza tena miaka mingine mitano au wanakuja kuona anavyofanana maana huwa wanasikia tu. Je wakitoka hapo watakuwa na kumbukumbu kwamba kasema nini hivyo weweze kupigia chama kura miaka mitano au kumi baadaye?

You
 
ENDELEENI KUJIDANGANYA HUMU IF,
UKWELI MTAUONA OCTOBER28
 
Hadi kufikia 2020 nataka niwe nimefuta upinzani ~Jiwe.

Matokeo yake kajifuta mwenyew kwa kauli za kifedhuli akifikiri yeye ndo kila kitu nchi hii.
anatupeleka peleka utadhani nchi hii alitwaa madaraka kwa kufanya mapinduzi ya kijeshi kumbe ni spoon-feeding za kikaratasi kilichokuwa kwenye mfuko wa koti la Jakaya tu.
 
Nyuma ya hao watoto kuna wazazi wao na walimu wao...ila usisahau hao ndio wapiga kura wa kesho!

Usitegemee sana nguvu ya Amsterdam, wekeza kwenye kizazi cha kesho!
Ilo neno kesho Sitaki kurisikia au litoe kwenye bandiko lako hapo juu tuna taka tuwekeze kizazi cha leo ili kesho kisiwe kizazi cha mazombi
IMG_20200915_204709.jpg
 
Ni kwa sababu watu wanaona rais anajisumbua tu kupiga kampen akat washaelewa na wanampa kura
 
Rais hapaswi “kutofokea” inatakiwa arudi kwetu kwa upole na heshima atuambie

”ndugu wananchi, mlinipa dhamana ya kuwatumikia, katika KAZI mliyonituma nimefanya kadha wa kadha, kama mmeridhika naombeni mnipe tena ridhaa” sio kama anavyofanya “makasiriko” na “kutufokea”!
[emoji111][emoji111]
IMG_20200915_184301.jpeg
 
Wahaya siyo wajinga. No kabila lililosoma kuliko makabila yore. Wanapata matatizo, badala ya kufarijiwa wanadhihakiwa. Payback time...!!
Au kuwatumia wasanii na kuwa na umayi ulojongea kuangalia mauno ya wasanii wadhan ndio itadondosha kura kwa jiwe??
Katu ni kujidanganya tu
Nilimsikia akiwa Kemondo anarudia rudia nimejenga barabra kuanzia katerero mpaka mto Ngono mara kadhaa huku akijichekesha ..Sarcasm
Kimsingi hakuna cha maana alichokifanya mkoa huu.
Ndo maana watu hawana shobo
 
Pesa za tetemeko baba.
Ukawanyima maendeleo
Ukawatukana,ukimwi,tetemeko,MTO ngono...unakumbuka eh?
Mkoa uko vile vile toka 2015 hakuna kilichafanyika katika mji huu.

Mfano hapo bukoba mkoa mzima hauna stendi zaidi ya matope hapo mjin
 
Actually ingekuwa sio yule bwana hira kunyang'anya makusanyo ya halmashauri bukoba hapo stendi ingeng'ara.
Ni haki ya wana bukoba kukitaa hicho chama kwa kitendo cha kuwadhurumu michango ya tetemeko.

Sent from my SM-J730GM using JamiiForums mobile app
Ila stendi ya bukoba ni mbaya na inatisha.

Yaan mvua ikinyesha ni majanga.

Mpaka magari mengine huwa hawaitumii hiyo stendi.
 
Tafadhali wazazi tusikubali upuuzi huu. Yaani CCM inawaanika watoto wetu kwenye jua na kuwakosesha masomo kwa ajili ya kumpokea Magufuli. Halafu shule ni mali ya serikali kwanini zitumike kwenye kampeni.
Huyo alijilaani alipotamka anataka kufuta wenzake sasa God anamfuta rasmi
 
Wahaya siyo wajinga. No kabila lililosoma kuliko makabila yore. Wanapata matatizo, badala ya kufarijiwa wanadhihakiwa. Payback time...!!
Nimeona Leo anawasifia eti wanakula samaki ndo maana wanaakili Sana. Sijui anawaogopa[emoji23]
 
Lakini mkuu usiwe biased mbona tumefuatilia kwenye TV,watu wazima wamejitokeza kwa wingi sana ?Tena katika vitongojo mbali mbali along side ya barabara?

Nikupe neno mkuu acha kutia chumvi haikusadii wala haimsaidii Lissu. Unajipotosha wewe mwenyewe.
Mkuu hii imekuwa kawaida ya ccm sasa wala sio upotoshaji tumeshuhudia kule mwanza shule zilifungwa siku mh alipokuwa kwenye uwanja wa ccm kilumba
 
Hi ni aibu ya mwaka

Chama kimokosa mvuto tukiwaambia mnabisha hiki chama bila wasanii haki ya Mungu hakipati watu.

Mwaka huu patachimbia watu mjiandae kukabidhi Ikulu.

Lissu yupo vijijini anapokelewa na watu kibao ila CCM inakosa watu Bukoba Mjini?

Laana ya Tetemeko itawatafuna mwaka huu.


View attachment 1570594View attachment 1570595View attachment 1570596
Hata walimu wanaopeleka wanafunzi kwenye mikutano ya chama hawajielewi, siwezi kuacha masomo kwa sababu mpuuzi mmoja anakuja kuropoka ropoka .
 
Back
Top Bottom