Ni kosa kuwaachisha watoto masomo na kuwapanga barabarani kufanya siasa, wana Kagera na watanzania wote tukatae jambo hili.
Hi ni aibu ya mwaka
Chama kimokosa mvuto tukiwaambia mnabisha hiki chama bila wasanii haki ya Mungu hakipati watu.
Mwaka huu patachimbia watu mjiandae kukabidhi Ikulu.
Lissu yupo vijijini anapokelewa na watu kibao ila CCM inakosa watu bukoba mjini?
Laana ya Tetemeko itawatafuna mwaka huu.
View attachment 1570594View attachment 1570595View attachment 1570596
Ngoja wamsalimie rais wao bhana
Wanafunzi ni wafaidika wa sera nzuri za ccm kuhusu elimu. 2015-2020 jumla trillioni 1.09 zimetolewa kughalimia elimu bure, ccm hoyeee
watoto wa wakulima walio darasa la kwanza hadi la tano ni wafaidika wa sera ya ccm ya elimu bure, wanafunzi walio form V ni wafaidika, wanafunzi walio form I- IV ni wafaidika wa elimu bure. kwa nini watoto hawa wasijipange barabarani japo kwa siku moja kuonyesha SALUTE kwa PAYMASTER wa nchi????
Nyuma ya hao watoto kuna wazazi wao na walimu wao...ila usisahau hao ndio wapiga kura wa kesho!
Usitegemee sana nguvu ya Amsterdam, wekeza kwenye kizazi cha kesho!
Hadi kufikia 2020 nataka niwe nimefuta upinzani ~Jiwe.
Matokeo yake kajifuta mwenyew kwa kauli za kifedhuli akifikiri yeye ndo kila kitu nchi hii.
Lakini mkuu usiwe biased mbona tumefuatilia kwenye TV,watu wazima wamejitokeza kwa wingi sana ?Tena katika vitongojo mbali mbali along side ya barabara?
Nikupe neno mkuu acha kutia chumvi haikusadii wala haimsaidii Lissu. Unajipotosha wewe mwenyewe.
Hao watoto wameenda hapo kwa kupenda kwao?