Wanafunzi ni wafaidika wa sera nzuri za CCM kuhusu elimu. 2015-2020 jumla trillioni 1.09 zimetolewa kugharamia elimu bure, CCM hoyeee. Watoto wa wakulima walio darasa la kwanza hadi la tano ni wafaidika wa sera ya CCM ya elimu bure.
Wanafunzi walio form V ni wafaidika, wanafunzi walio form I- IV ni wafaidika wa elimu bure. Kwa nini watoto hawa wasijipange barabarani japo kwa siku moja kuonyesha SALUTE kwa PAYMASTER wa nchi?
Mbona wao awapeleki watoto wao kwenye hizo st kayumba Kama elimu Ni boraHata Mwanza, bila wanafunzi na wanavijiji waliosombwa kwa malori, uwanja ulikuwa mtupu. Mwanza wanafunzi waliambiwa wasivae uniform. Naona Bukoba walisahau kuwaambia.
Sent using Jamii Forums mobile app