Uchaguzi 2020 Aibu: CCM yafutika Bukoba, wanafunzi wapangwa barabarani muda wa masomo kumpokea

Ni kosa kuwaachisha watoto masomo na kuwapanga barabarani kufanya siasa, wana Kagera na watanzania wote tukatae jambo hili.
Ngoja wamsalimie rais wao bhana
Nyuma ya hao watoto kuna wazazi wao na walimu wao...ila usisahau hao ndio wapiga kura wa kesho!
Usitegemee sana nguvu ya Amsterdam, wekeza kwenye kizazi cha kesho!
Hadi kufikia 2020 nataka niwe nimefuta upinzani ~Jiwe.

Matokeo yake kajifuta mwenyew kwa kauli za kifedhuli akifikiri yeye ndo kila kitu nchi hii.
Lakini mkuu usiwe biased mbona tumefuatilia kwenye TV,watu wazima wamejitokeza kwa wingi sana ?Tena katika vitongojo mbali mbali along side ya barabara?
Nikupe neno mkuu acha kutia chumvi haikusadii wala haimsaidii Lissu. Unajipotosha wewe mwenyewe.
Hao watoto wameenda hapo kwa kupenda kwao?
 
We zomea hao ni wapiga kura wakesho na wengeni ni waleo (vijana wa High School)
 
CHADEMA mkiambiwa CCM wamejipanga ni wamejipanga kweli...kwa staili mnayoenda nayo mtalamba zero
 
Ah ah kipendwa kwa kushurtishwa ndio unampa hongera??

Lol wewe ndo walr wanaotoa ongera ovyo ovyo
 
Elimu ya vitendo,kuna ubaya gani ya watoto wa shule kujifunza elimu ya uraia kwa vitendo?Tena wakimwona Raisi wa Jamhuri ananadi sera za chama chake?
Wanaibua wanasiasa kizazi kipya.
 
Hadi kufikia 2020 nataka niwe nimefuta upinzani ~Jiwe.

Matokeo yake kajifuta mwenyew kwa kauli za kifedhuli akifikiri yeye ndo kila kitu nchi hii.
Kajifuta wapi comrade acha kujipa matumaini hewa. Magufuli ni chaguo la watanzania.
 
Nyumbu akili zenu sijui nani kawashikia!! Picha za ccm unazo ila za mafuriko ya chadema ya vijini huna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hauwezi kuzipost.[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Actually ingekuwa sio yule bwana hira kunyang'anya makusanyo ya halmashauri bukoba hapo stendi ingeng'ara.
Ni haki ya wana bukoba kukitaa hicho chama kwa kitendo cha kuwadhurumu michango ya tetemeko.

Sent from my SM-J730GM using JamiiForums mobile app
 
Wengine wapo kupotosha tu.Anafikiri kupotosha Ndio kura zitaingia kwenye box.Moderators mungekuja na uhakiki wa nyuzi.Mkiona huu ni upotoshaji mnaachana nayo.Kwani MTU akishare JF wataonekana waongo
Mkuu JFi imevamiwa na nzige,lakini moderator sijui wako wapi?
 
Ukisikia kuishiwa ndio huku Sasa masikini CCM chini ya Mhutu kwisha kabisa .
 
Aibu ninaiona mimi mwanaccm! Chama chetu kimefutika kabisa mioyoni mwa watu, tunalazimisha kupendea tu!
 
Wahaya siyo wajinga. No kabila lililosoma kuliko makabila yore. Wanapata matatizo, badala ya kufarijiwa wanadhihakiwa. Payback time...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…