Uchaguzi 2020 Aibu: CCM yafutika Bukoba, wanafunzi wapangwa barabarani muda wa masomo kumpokea

Hata Mwanza, bila wanafunzi na wanavijiji waliosombwa kwa malori, uwanja ulikuwa mtupu. Mwanza wanafunzi waliambiwa wasivae uniform. Naona Bukoba walisahau kuwaambia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wao awapeleki watoto wao kwenye hizo st kayumba Kama elimu Ni bora
 
Gharama zilizotumika kufanya ukarabati bukoba hazilingani na jumla ya pesa iliyochangwa wakati wa maafa. Wanabukoba wanayo haki ya kudai na kurudishiwa chenji ili wajenge nyumba za kuishi
 
October kila mtz abebe nyundo akalisambaratishe jiwe, akizembea Tena ajiandae kusambaratishwa tena
 
Mjazeni Upepo huyo Mropokaji wenu
Mwisho Mtakiona octoba
 
Mkuu hii imekuwa kawaida ya ccm sasa wala sio upotoshaji tumeshuhudia kule mwanza shule zilifungwa siku mh alipokuwa kwenye uwanja wa ccm kilumba
Ni kawaida tokea tuna uhuru enzi za Kambarage
 
Ni haki yenu, chukueni hizo elfu 20 mkamdani Magufuli. Huo upumbavu mtaujutia mkifika mtaani na kukosa ajira kwa miaka 5 . Sisi wengine hatustaafu leo na kazi hatuachi tukihofia kukosa mafao yetu ambayo tunalazimishwa tuchukue uzeeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…